BUNJU KUMENOGA, DR.MWAKYEMBE, MO WAFANYA UKAGUZI

0

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewasili uwanja wa Bunju leo kwa ajili ajili ya kuweka jiwe la msingi.Mwakyembe ameongozana na viongozi wa Simba ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Simba, Mohamed Dewji 'Mo', Crescentisus Magori ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Simba pamoja na waneanza shughuli ya kukagua uwanja wa nyasi...

RC: PAUL MAKONDA AWAPA TANO YANGA, ATAJA KITAKACHOUKUZA MPIRA WA BONGO

0

PAUL Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa yeye ni kwa haua ambayo Yanga wameanza kwa sasa ni hatua kubwa na inahitaji pongezi.Yanga jana walihitimisha siku ya Mwananchi kwa kucheza mchezo wa kirafiki na Kariobangi Sharki uwanja wa Taifa na walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.Makonda amesema"Naona Yanga wameanza vizuri na wamerejea kwenye ubora wao nimeongea...

PSG YAMKOA NEYMAR JR, YAGOMA KUTOA KWENDA BARCELONA

0

UONGOZI wa Paris Saint Germain  (PSG) inaaminika kuwa upo tayari kumuuza nyota wao raia wa Brazil, Neymar Jr lakini sio kwa kuwauzia Barcelona.Neymar aliwaambia PSG kuwa katika kipindi cha usajili hayupo tayari kubaki ndani ya klabu hiyo anataka kurejea Barcelona.Katika kuashiria kuwa PSG wanataka kumkomoa Neymar nao pia inaaminika kuwa haina mpango wa kumuachia kwenda Barcelona kwa kuwa hawataki...

UWANJA WA SIMBA KUWEKWA JIWE LA MSINGI LEO NA WAZIRI MWAKYEMBE

0

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi uwanja wa Bunju.Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika kuanzia majira ya saa 4 kwenye uwanja huo uliopo kwenye matengenezo.Uwanja huo wa Simba ni maalumu kwa ajili ya mazoezi ya timu hiyo ambayo kesho inamenyana na Power Dynamo uwanja wa Taifa.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu

KOCHA TANZANITE AWAPA PONGEZI WACHEZAJI WAKE

0

BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, 'Tanzanite' amesema kuwa wachezaji wake wanapaswa pongezi kwa kupambana.Tanzanite imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kushinda michezo miwili ya michuano ya COSAFA kwa kuanza mbele ya Botswasana ushindi wa mabao 2-0 na jana mbele ya Eswatini mabao 8-0."Wachezaji wanastahili pogezi kwani wamepambana mwanzo mwisho...

SIMBA: TUPO FITI KUMENYANA NA POWER DYNAMO

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuelekea kwenye SportPesa Simba Wiki wamejipanga kufanya makubwa msimu ujao na wataanza kufanya hivyo kesho kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo.Simba kesho itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki kwenye kilele cha SportPesa Simba wiki utakaochezwa uwanja wa Taifa.Patrick Ausssems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa...

YANGA YAPANIA KUFANYA MAAJABU MAKUBWA MSIMU UJAO

0

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa matatizo ya kikosi chake kwa sasa ni madogo na atayafanyia kazi.Zahera amesema kuwa kwa sasa anakisuka kikosi imara ambacho kitaleta ushindani msimu ujao kama ambavyo aliahidi msimu uliopita."Ninapenda kuona wachezaji wakipambana kwa juhudi ila tatizo lao nimegundua linatokana na kushindwa kukaa kwa muda mrefu hasa kwenye mazoezi."Msimu ujao sasa nimepanga kusuka...

NAHODHA STARS AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO

0

JUMA Kaseja, nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa siri kubwa ya ushindi ni kujiamini na kufanya kazi kwa kushirikiana.Jana Stars ilishinda mchezo wake wa marudiano dhidi ya Kenya kwa penalti 5-1 kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya Chan inayotarajiwa kufanyika Cameroon 2020."Tunafanya kazi kwa ajili ya Taifa na kila mmoja...

MENEJA WA MANCHESTER CITY AWEKA REKODI YA AINA YAKE

0

PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amekuwa wa kwanza msimu huu kuonyeshwa kadi ya njano kwa mameneja ambao wanafundisha Ligi Kuu England.Guardiola ameonyeshwa kadi hiyo jana kwenye mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Liverpool baada ya kulalamika kuhusu changamoto za Joe Gomez.Meneja huyo mwenye umri wa miaka 48 hakupendezwa na vitendo vya Liverpool ila baada ya kuonyeshwa kadi...