UNITED WAWEKEWA UGUMU KUMPATA NYOTA WA NEWCASTTLE UNITED
SEAN Longstaff nyota wa Newcasttle United ameingizwa kwenye rada za Manchester United kwa ajili ya msimu ujao huku ikielezwa kuwa kuna ugumu wa kumpata.Meneja mpya wa Kocha huyo, Steve Bruce amesema kuwa hana mpango wa kumuuza msimu ujao.Bei ya kumpata nyota huyo ilikuwa ni pauni milioni 50 na kiungo huyo amecheza jumla ya mechi 13 mpaka sasa.
GARETH BALE MBISHI KINOMA AIKOMALIA MADRID
GARETH Bale amemwambia Meneja wa Real Madrid, Zinedine Zidane kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikoisi hicho msimu ujao kuelekea China.Zidane amemwambia Bale kuwa hana mpango wa kumtumia msimu ujao kwenye kikosi chake hivyo ni lazima aondoke kutafuta maisha sehemu nyingine."Sitaweza kufanya kazi na Bale msimu ujao, ni fursa kwake kuondoka na tunamfanyia mpango wa kujiunga na timu...
CAF WASITISHA ISHU YA AS VITA KUTIA TIMU BONGO
IMEELEZWA kuwa Uongozi wa As Vita umesitisha mpango wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Yanga.Yanga ilipanga kucheza mchezo wa kirafiki siku ya kilele cha wananchi Agosti 4 uwanja wa Taifa.Taarifa zinaeleza kuwa kutokana na kutoka kwa ratiba ya michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Caf huku ikionyesha kuwa kati ya Agosti 9,10,11 AS Vita wakwenda Cameroon kucheza na...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
NYOTA SABA MATATA WAMPASUA KICHWA MBELGIJI WA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa mchezaji atakayeonyesha juhudi mazoezini ndiye atakayepewa kipaumbee kwenye kikosi cha kwanza.Simba imeweka kambi nchini Afrika Kusini ambapo inaendelea na mazoezi kwa ajili ya msimu ujao huku vipaumbele vikubwa vikiwa ni kufanya vema michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kutetea taji la Ligi Kuu Bara.Aussems ambaye anaaminika kutumia sana viungo kutafuta...
MLINDA MLANGO MPYA WA YANGA KUTOKA KENYA ATIA TIMU BONGO
HATIMAYE, Farouk Shikalo mlinda mlango mpya wa kikosi cha mabingwa wa kihstoria, Yanga amewasili nchini Tanzania.Shikalo amewasili Dar akitokea nchini Kenya ambapo alikuwa kwa mapumziko ya muda baada ya kukamilisha majukumu ya timu ya Taifa ya Kenya pamoja na klabu yake ya Bandari iliyokuwa inashiriki michuano ya Kagame. Amepokelewa na Kaimu Katibu wa Yanga, Dismas Ten, atajiunga na timu kambini...
SIMBA: LAZIMA TUTUSUE KIMATAIFA
GADIEL Michael, beki wa kushoto wa Simba amesema hesabu zake ni kutamba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kufika mbali zaidi ya robo fainali ambayo walifika msimu uliopita.Gadiel amesaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga na atakuwa na kazi ya kupambana na Mohamed Hussein 'Tshabalala' ambaye naye ni beki wa kushoto. “Nina mambo makubwa nimejiandaa kuyafanya hapa katika timu yangu,...
MASHABIKI YANGA WAPEWA SOMO KUELEKEA WIKI YA WANANCHI
TAYARI mambo yameanza ndani ya Yanga ambapo mashabiki wa sehemu mbalimbali wameanza kujipanga kuelekea kwenye wiki ya Wanachi.Uongozi wa Yanga umesema kuwa Julai 28 itakuwa ni maalumu kwa wana Yanga wote nchini kufanya masuala ya usafi na kupanda miti.Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kuwa lengo ni kuweka historia itakayokumbukwa daima.Tayari mashabiki wa Yanga wameanza maandalizi ambapo wanachama...
TFF YATIA TIMU KIGALI KUIPA SAPOTI AZAM FC
WALLACE Karia, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameitaka Ttmu ya Azam FC kufanya vema kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Kagame itakayochezwa leo dhidi ya KCCA.Karia amefika kwenye kambi ya Azam Fc iliyopo nchini Rwanda Hotel ya Hilltop akiongozanna na Kaimu Makamu wa TFF Athuman Nyamlani na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Msafiri Mgoyi.Karia pia alitumia fursa...
TULIINGIA DARASANI KWA TAMBWE, SASA NI ZAMU YA BALINYA, URIKHOB KUTUPA KITABU KINGINE
Na Saleh AllyYANGA imesajili washambulizi wawili wapya, mmoja kutoka Uganda na mwingine nchini Namibia na wote, waliwahi kukataliwa na Simba.Sadney Urikhob ni raia wa Namibia ambaye aliwahi kuichezea Simba kwa dakika 45 ikiwa ni Kocha Patrick Aussems akitaka kumuona baada ya kufanya naye mazoezi kwa siku mbili.URIKHOBUrikhob aliichezea Simba kwa muda huo bila ya kufunga bao lakini akaonyesha ni...