AZAM FC: TUNALIPA KISASI KWA KCCA LEO, TUNABEBA KOMBE

0

ETTIENE Ndayiragije Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa leo watapambana kulipa kisasi mbele ya KCCA  katika mchezo wa fainali ya kombe la Kagame nchini Rwanda.Azam na KCCA zilikuwa kundi moja ambapo katika mchezo wa hatua za makundi uliozikutanisha timu hizo Azam ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0."Awali tulifungwa kwa kuwa kikosi hakikuwa na muunganiko kwa sasa tumetengamaa na tupo...

SIMBA: MSIMU UJAO MOTO UTAWAKA, TUTAPAMBANA KUFIKIA MALENGO

0

BENO Kakolanya mlinda mlango wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufikia malengo waliyojiwekea kutokana na aina ya kambi waliypo kwa sasa. Simba ipo nchini Afrika Kusini na wanafanya mazoezi kwenye uwanja wa Royal Bafokeng Sports Complex mjini Rutenburg.Kakolanya amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa na matumaini yao ni kufanya makubwa msimu ujao."Kambi ipo salama na tunaendelea vizuri, ushirikiano...

YANGA YATAJA KINACHOMKWAMISHA KIPA MPYA WA KENYA

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kilichomchelewesha mlinda mlango wao mpya, Farouk Shikalo kujiunga na timu hiyo ni makubaliano yao na timu yake ya zamani ya Bandari FC.Shikalo amesajiliwa na Yanga kwa kandarasi ya miaka miwili anatarajiwa kujiunga na timu ya Yanga iliyopo Morogoro muda wowote kuanzia sasa.Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa taratibu zote zimekamilika hivyo muda wowote...

HICHI NDICHO KILICHOWAFELISHA SENEGAL AFCON 2019

0

NYOTA wa timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mane amesema kuwa kilichowaponza washindwe kutwaa kombe la Afcon mwaka 2019 ni kushindwa kutumia nafasi walizozipata.Senegal imetinga hatua ya fainali ya michuano ya Afrika mara mbili na imeambulia patupu muda wote.Mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 2002 na ilifungwa na Cameroon kwa penalti nchini Mali na fainali yake ya pili ikafungwa...

REAL MADRID YATAKA BALE ASEPE, ZINEDINE APEWA JUKUMU HILO

0

MENEJA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema kuwa hana tatizo na mchezaji wake Gareth Bale ila klabu inahitaji asepe ndani ya kikosi hicho ifikapo kesho."Tunamatuamaini anaweza kuondola ndani ya kikosi muda si mrefu na itakuwa furaha kwa kila mmoja ndani ya timu tunafanya kazi suala la uhamisho wake kwenda timu nyingine sasa."Sina tatizo naye binafsi ila ni lazima hili...

NYOTA MPYA ANAYETAJWA KUWINDWA NA SIMBA ANAZIONEA NYAVU ZA WAPINZANI KINOMA

0

JUSTIN Shonga mshambuliaji wa kikosi cha timu ya Orlando Pirates mwenye miaka 22 ni mkali wa kutupia akiwa ndani ya timu yake ya Taifa ya Zambia. Rekodi zinaonyesha kuwa nyota huyo mwenye uzito wa kg 65 kwa mwaka 2017-18 amecheza jumla ya mechi 18 na amepachika jumla ya mabao 1 ndani ya timu ya Taifa.Kwa sasa anatajwa kuwindwa na...

LIVERPOOL YAMKINGIA KIFUA MANE KUTIMKIA MADRID

0

SADIO Mane nyota wa Liverpool amekingiwa kifua na mabosi zake hao juu ya suala lake la kuhitajika na kikosi cha Real Madrid.Mane ambaye ni nyota pia ndani ya kikosi cha timu ya Taifa cha Senegal ametupia jumla ya mabao matatu na alikosa penalti mbili kwenye michuano ya Afcon iliyomalizika nchini Misri, ilielezwa kuwa anahitajika na Madrid.Liverpool imesema kuwa haijafanya...

AZAM FC WABABE WA WACONGO KAZINI LEO FAINALI

0

LEO kikosi cha Azam FC ambao ni wababe kwa timu zote za Congo walizokutana nazo ambazo ni TP Mazembe na Manyema FC kitakuwa na kazi ya kumenyana na KCCA ya Uganda kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame uwanja wa Nyamirambo majira ya saa 12:00 jioni.Azam FC ni watetezi wa kombe hili ambalo walilitwaa msimu uliopita kwa kuifunga...

YANGA: MSIMU UJAO TUTAFANYA MAAJABU

0

MLINDA Mlango wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Metacha Mnata amesema kuwa msimu ujao lazima wapambane kufikia malengo ya timu kutokana na mipango waliyojiwekea.Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao na hesabu zao kubwa ni kutwaa ubingwa uliopo mikononi mwa Simba."Kazi ipo msimu ujao ukizingatia kwamba kila timu imefanya usajili makini ni...

SIMBA YATUMA UJUMBE MZITO KWA YANGA

0

JOHN Bocco nahodha wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufa na kupona kutetea taji lao na kufanya vyema michuano ya kimataifa.Simba ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wana kibarua kizito cha kutetea kombe hilo kutokana na mipango ya wapinzani wao Yanga kupigia hesabu ubingwa. Hesabu hizo ni ujumbe mzito kwa Yanga na timu nyingine zinazoshiriki ligi ambazo ni...