RATIBA YA SUPER 8 BEACH SOCCER HII HAPA

0

RATIB A ya Super 8 Beach Soccer ipo namna hii

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili

GWAMBINA FC YAMTENGEA MAMILIONI NYOTA WA YANGA

0

TIMU ya Gwambina FC ya Mwanza ipo mtaani ikisaka saini ya kiungo wa Yanga Pius Buswita ambaye kwa sasa ni mchezaji huru.Buswita amemaliza mkataba wake na Yanga na hajaongezwa kandarasi nyingine hivyo yupo huru kwa sasa.Taarifa zinaeleza kuwa tayari mabosi wa Gwambina FC wameweka mezani dau la milioni 10 kumpata nyota huyo.

TANZANIA PRISONS, KAGERA SUGAR WAIGOMBANIA SAINI YA NYOTA HUYU SIMBA

0

MOHAMED Rashid 'Mo Rashid' anayekipiga Simba kwa sasa ameziingiza vitani timu nyingi za Ligi Kuu Bara zinazohitaji saini yake ikiwa ni pamoja na Kagera Sugar na Tanzania Prisons. Mo Rashid amemaliza mkataba wake ndani ya KMC ambapo alikuwa anacheza kwa mkopo.Habari zinaeleza kuwa Simba imeonyesha nia ya kumpeleka kwa mkopo kukipiga JKT Tanzania msimu ujao.Mo Rashid amesema kuwa kazi...

KAGERA SUGAR: BADO TUPO SOKONI KUSAKA MAJEMBE

0

MECKY Maxime amesema kuwa kwa sasa tayari amefanikiwa kufanya usajili kwa wachezaji aliokuwa anawahitaji hivyo ni nafasi chache zimebaki.Maxime amesema kuwa msimu ujao anahitaji kuleta ushindani mkubwa na anaamini kwa usajili ambao wameufanya watafanya vizuri."Hatuna tatizo kubwa kwa sasa kwani kwa asilimia kubwa tumekamilisha usajili kwa wachezaji ambao tulikuwa tunahitaji kuwapa kandarasi, ni nafasi chache ambazo zimebaki hivyo muda...

KAZI IMEANZA MTIBWA SUGAR, WAINASA SAINI YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA

0

MTIBWA Sugar wameanza kazi ya usajili msimu huu baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji kutoka African Lyon, Awadh Salum.Salum ni nyota pia ndani ya kikosi cha timu ya Taifa chini ya miaka 23 msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar.Huu ni usajili wa kwanza kwa Mtibwa Sugar ambao msimu uliopita walishiriki kombe la Shirikisho Afrika.

KASSIM KHAMIS, IDDY SULEIMAN WAMPA WAKATI MGUMU NYOTA AZAM FC

0

KUSAJILIWA kwa nyota wa Mbeya City FC, Iddy Suleiman, Kassim Khamis kutoka Kagera Sugar kumefanya nafasi ya mshambuliaji Mbaraka Yusuph kuwa finyu hali inayowafanya mabosi hao kufikikria kumtoa kwa mkopo Mbaraka Yusuph.Yusuph alitolewa kwa mkopo Namungo FC na tayari amemaliza mkataba wake kwa sasa amerejea Bongo akiisubiri timu irejee kutoka Rwanda ambao inashiriki michuano ya Kagame na leo inacheza...

YANGA MPYA YANGA ATAJA SIKU YA KUTUA BONGO

0

 FAROUK Shikalo mlinda mlango wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hana taabu yoyote kujiunga na mabosi hao anachosubiri ni simu tu atie timu Bongo siku yoyote kuanzia sasa. Nyota huyo alikuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars iliyokuwa ikishiriki michuano ya Afcon iliyomalizika jana na alikuwa na klabu yake ya Bandari iliyokuwa ikishiriki michuano ya...

UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO

0

MANCHESTER United leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Inter Milan mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Taifa wa Singapore.United imecheza mchezo wa kiushindani na mzuri na walikuwa wakitengeneza nafasi nyingi za wazi.Mshambuliaji chipukizi Mason Greenwood amezidi kutakata baada ya kufunga bao pekee la ushindi leo.Huu unakuwa mchezo wake wa pili kufunga kwani hata mchezo wake wa...

BREAKING: MECHI NNE KALI ZA KIRAFIKI ZA SIMBA AFRIKA KUSINI

0

KWA sasa Simba ipo Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Hii hapa ratiba ya mechi za kirafikiJulai 23Simba v Orbret TVETJulai 24Simba v Platinum StaersJulai 27Simba v Township RollersJulai 30Simba v Orlando Pirates