Home Uncategorized KAZI IMEANZA MTIBWA SUGAR, WAINASA SAINI YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA

KAZI IMEANZA MTIBWA SUGAR, WAINASA SAINI YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA

MTIBWA Sugar wameanza kazi ya usajili msimu huu baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji kutoka African Lyon, Awadh Salum.

Salum ni nyota pia ndani ya kikosi cha timu ya Taifa chini ya miaka 23 msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar.

Huu ni usajili wa kwanza kwa Mtibwa Sugar ambao msimu uliopita walishiriki kombe la Shirikisho Afrika.

SOMA NA HII  MANARA: YANGA NI WASHIRIKI VITI MAALUM CAF - VIDEO