HATMA YA ZAHERA NA YANGA JUU YA MKATABA MPYA HII HAPA

0

UONGOZI wa Klabu ya Yanga upo mbioni kumuongezea mkataba mpya kocha wake mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera wa kuendelea kukinoa kikosi hicho. Mkongomani huyo alijiunga na Yanga katikati ya msimu wa mwaka juzi akitokea Builcon FC ya Zambia.Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Championi Ijumaa ni kuwa Yanga ipo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha mpango huo wa kumuongezea mkataba...

JESHI KAMILI LA YANGA HILI HAPA, SALAAM ZAO WAPINZANI

0

YANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana.Dirisha hilo la usajili linatarajiwa kufungwa Julai 31, mwaka huu na hakutakuwa na muda wa kuongezwa huku usajili wa Caf kwa klabu za Simba, Yanga, Azam FC na KMC ukitarajiwa kufungwa Julai 10.Yanga na Simba zinatarajiwa kuiwakilisha nchi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika...

MANULA AVUNJA REKODI YA DAU USAJILI SIMBA

0

Kipa namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Aishi Manula, anatajwa kuwa mchezaji wa kwanza mzawa kusaini kwa dau kubwa ambalo ni Sh milioni 120.Manula ni kati ya wachezaji walioboreshewa mikataba yao baada ya ile ya awali kumalizika mwishoni mwa msimu uliopita.Wachezaji wengine walioboreshewa mikataba yao ni Erasto Nyoni, John Bocco, Shomari Kapombe, Meddie...

BEKI MPYA MANCHESTER UNITED AMTAJA ALIYEMPELEKA UNITED

0

AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer ndiye amesababisha ajiunge na timu hiyo.Nyota huyo amejiunga na kikosi hicho akitokea Crystal Palace na ametambulishwa rasmi kuitumikia timu hiyo msimu ujao."Nimefurahi kutua Manchester United, wakati nikiwa kijana nilikuwa natamani sana siku moja nitue hapa na kocha Solskajaer ni...

SABABU YA RUVU SHOOTING KUFANYA KLINIKI KWA WACHEZAJI YATAJWA

0

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa wachezaji wote wenye vipaji na wanajua kucheza mpira ni zamu yao kujitokeza leo kwa wingi uwanja wa Mabatini ili kuanza mchujo kwa gharama zao.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa ni fursa kwa kila mchezaji kuonyesha uwezo wake na atakayepenya atasajiliwa moja kwa moja."Tunaanza leo asubuhi...

SIMBA YAIBUKA NA JINGINE KUBWA LA USAJILI WIKI HII

0

Alichokizungumza Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori kuhusiana na usajili wa timu hiyo kwa wiki hii.