SIMBA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA A-ONE, YAVUNA MAMILIONI

0

KLABU ya Simba,imeingia mkataba na Kampuni ya A-one kwa ajili ya kutangaza bidhaa yao mpya ya Mo xtra Energy wenye thamani ya Tsh.Milioni 250.Mkataba huo umesainiwa leo na Meneja Masoko wa A-One, Fatma Dewji na Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori ambapo umesainiwa ukiwa mwendelezo wa mkataba wa timu hiyo na kampuni hiyo.Hii ni mara ya Pili kwa Simba...

SONSO AJA NA MKWARA YANGA

0

BEKI mpya wa Yanga, Ally Mtoni Sonso amesema kuwa alikuwa na ndoto kubwa sana ya kucheza na Yondani na baada ya kusajiliwa na Yanga amesema wapinzani wakae pembeni.Sonso juzi Ijumaa akiwa nchini Misri na timu ya Taifa ya Tanzania alisajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea timu ya Lipuli FC ya mkoani Iringa.Sonso ameliambia Spoti Xtra kuwa,...

WENGINE SIMBA KUTIMKIA AFRIKA KUSINI

0

WAKATI usajili ukizidi kushika kasi inatajwa nyota wawili wa kikosi hicho wanatarajia kujiunga na Klabu ya Black Leopards ya Afrika Kusini.Nyota hao wawili mmoja wapo ni beki na mwingine ni kiungo na kwa sasa wapo hatua za mwisho kukamilisha usajili wao. Taarifa za ndani zinadai kuwa klabu hiyo imevutiwa na wachezaji hao ndiyo maana zimeamua kuingia mazungumzo na nyota...

KWA YANGA HII MJIPANGE!

0

AMA kweli Yanga sasa wameamua, kuelekea msimu ujao maandalizi yameanza mapema na lengo ni kuhakikisha wanakuwa na kikosi bora katika michuano yote msimu ujao wa 2019/20.Katika kuhakikisha hilo linafanikiwa kwa kikosi chote kuwa fiti uongozi wa klabu hiyo umejipanga kikamilifu, kwa kuhakikisha unaweka kambi yake ya maandalizi ya msimu mpya nchini China, ambapo wachezaji wapya nao wataungana katika safari...

ZAHERA ATANGAZA KIKOSI KIZIMA KIPYA YANGA

0

MTAANI kwa sasa mashabiki wa Yanga ndiyo wanatamba kwa nguvu kutokana na uboreshaji wa kikosi cha msimu ujao uliofanywa na viongozi wa timu hiyo.Yanga kwa msimu uliomalizika hivi karibuni walikuwa na timu ya ungaunga jambo ambalo liliwafanya wapinzani wao Simba kutwaa ndoo ya ubingwa wa ligi kirahisi.Sasa kwa kutotaka kurudia makosa mabosi wa Yanga wameshusha nondo za kutosha ndani...

HAWA HAPA NYOTA 15 KIMEELEWEKA NDANI YA SIMBA

0

BADO vuguvugu la kuongeza majembe mapya na kuongeza mkataba wa wachezaji kwenye Ligi Kuu Bara unazidi kushika kasi.Mabingwa watetezi Simba kama ilivyo ada nao hawapo nyuma ambapo mpaka sasa tayari wamemalizana na wachezaji 15.Hawa hapa mambo safi ndani ya Simba kwa sasa:-Meddie Kagere mshambuliaji wa Simba na mfungaji bora kwa msimu wa mwaka 2018-19 akiwa ametupia jumla ya mabao...

JEMBE JIPYA SIMBA LASAINI KWA DAU NONO! UKURASA WA MBELE CHAMPIONI LEO JUMATATU

0

Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu

SIMBA YAONGOZA KUINGIZA MPUNGA LIGI KUU, BIASHARA YA TATU, AZAM YA 15

0

Mgao wa Mapato ya mlangoni kwa timu za Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19.