KOCHA AMUNIKE AONESHA JEURI DHIDI YA SENEGAL, AWEKA MIPANGO YAKE HADHARANI – VIDEO

0

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike alivyofunguka kuhusiana na maandalizi ya mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Senegal, mbali na Amunike, aidha, Nahodha wa timu, Mbwana Samatta naye amefunguka yake ya moyoni.

HUU NDIYO UWEZO HALISI WA KIFAA KIPYA KILICHOTUA YANGA – VIDEO

0

Tazama uwezo wa beki Ally Allu aliyesajiliwa na Yanga kutokea KMC FC na kusaini mkataba wa miaka miwili.

KAMA UNA MTOTO MDOGO…HILI LA DStv LINAKUHUSU…ALADDIN INAKUJIA KWAKO KWA MSELELEKO ULE ULE WA MAMBO MOTO…

0

Jumatano hii mruhusu mwanao afurahie Aladdin kupitia chaneli ya Mambo Moto 140 inayopatikana kuanzia kifurushi cha Shangwe 31,000/= tu ndani ya @dstvtanzania pekee.Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi ili usikose burudani hii.#DStvEwaaaaah

UGANDA YAITWANGA CONGO YA ZAHERA 2-0 AFCON, OKWI ATUPIA

0

Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa Patrick Kaddu dakika ya 14 na Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 48.Ushindi wa Uganda unaifanya ikae kileleni mwa kundi A ikiwa na timu zingine za Misri na Zimbabwe.Msimamo unaonesha Uganda ipo kileleni, Misri iliyoachwa idadi...

MO AZUIA JARIBIO YANGA

0

HELA inaongea nyie! Mwekezaji Mkuu wa Simba bilionea, Mohammed Dewji, amezuia jaribio la kiungo wake mkabaji, Said Ndemla la kwenda kusaini kwa watani wao wa jadi, Yanga.Hiyo, ikiwa ni siku chache kabla ya kiungo huyo kwenda kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Gwambina FC kwenye Uwanja wa Gwambina uliopo Misungwi, Mwanza.Kiungo huyo hivi karibuni ilikuwa inaelezwa kuwepo kwenye mazungumzo...

BELLA SIKURUPUKI KUTOA NYIMBO

0

BAADA ya ukimya wa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mwanamuziki wa Dansi, Christian Bella ameibuka na kueleza sababu kuwa katika maisha yake hapendi kukurupuka kwenye kazi kwani anapenda akitoa wimbo uwe bora na siyo kubabaisha.Akizungumza na Risasi Jumamosi, Bella alisema kuwa mashabiki zake wanalalamika kwa nini hatoi nyimbo wal a hafanyi shoo kama ilivyo kwa wasanii wengine lakini...

BEKI MATATA KUTUA MAN UNITED

0

MAN United inasemekana ipo kwenye hatua za mwisho za kumsajili beki wa Crystal Palace, Aaron Wan-bissaka, ambaye wamekuwa wanamfukuzia wa muda mrefu.Muda mwingi wa msimu wa 2018, Manchester United imekuwa inatajwa kumwania WanBissaka, ambaye anang’ara kama beki wa pembeni.Wan-Bissaka anahesabiwa kama miongoni mwa mabeki bora wa kulia kwenye Ligi Kuu England. Manchester United inasemekana imekubali kulipa ada ya pauni...

JUMA KASEJA ASANI MIAKA KMC

0

KIPA Juma Kaseja ‘Tanzania One’ ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu yake ya KMC aliyoichezea msimu uliopita.Kaseja amesaini mkataba huo leo Jumamosi huku ukiwa ni mwendelezo wa timu hiyo kubakiza nyota wake ambao waliokuwa nao msimu uliopita.Akiwa na kikosi hiko Kaseja amewapa changamoto makipa wenzake, Jonathan Nahimana pamoja na Dennis Richard hali iliyofanya kikosi hicho kuwa imara.Kipa...