MZEE YANGA NA UMRI WAKE WA MIAKA 85 LAKINI MAISHA YA KIJANA WA SEKONDARI!
Na Saleh AllyJANA ilikuwa siku muhimu na maalum kwa wanachama na mashabiki wote wanaoiiunga mkono klabu ya Yanga.Rangi mbili maarufu, njano na kijani na...
SVEN KWA MABAO AFUNIKA, AIPOTEZA YANGA NAMNA HII
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameweka rekodi ya kuongoza kikosi hicho kufunga mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu 2019/20 akiwa...
NYOTA HUYU ANAIFUKUZIA REKODI YA AJIBU KIMYAKIMYA
NICOLAS Wadada, beki wa Azam FC amezidi kuwa mwiba ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuikimbiza rekodi ya kiungo wa Simba aliyoiweka msimu wa...
AZAM FC YATUMA UJUMBE KWA WAPINZANI WAO COASTAL UNION
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa kikosi kinajipanga kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Coastal Union...
SIMBA KUIFUATA LIPULI YA IRINGA LEO
BAADA ya kikosi cha Simba kupata ushindi wa mabao 3-0 mbele ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri Morogoro, leo kinaifuata Lipuli, Iringa.Simba ambao ni...
HIVI NDIVYO ABAROLA WA AZAM ALIVYOWANYIMA POINTI WAPINZANI WAKE KWA KUOKOA PENALTI
RAZACK Abarola, mlinda mlango namba moja wa Azam FC ameweka rekodi ya kuwatisha wapiga penalti wawili kushindwa kumtungua akiwa langoni na kuipa pointi sita...
SINGIDA UNITED INATAFUTA DAWA YA TATIZO LAO
KIKOSI cha Singida United kilicho chini ya Ramadhan Nswanzurimo juzi kilibanwa mbavu na Namungo FC kwa kufungwa bao 1-0 mchezo wa Ligi Kuu Bara...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa nbee Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi
TAMKO LA KIUNGO YANGA JUU YA UBINGWA KUTUA KWAO MSIMU HUU
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda amefunguka kuwa, iwapo watashirikiana kwa pamoja wachezaji wote na benchi la ufundi ana uhakika wa timu...
ZAHERA AIBUKA NA YA KWAKE KUHUSIANA NA MORRISON
Kocha aliyewahi ifundisha Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka mambo kadhaa kuhusiana na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Bernard Morrison.












