HAWA HAPA WATAJWA KUWA KISIKI CHA MPINGO KWA LIVERPOOL EPL
MECHI ya Ligi Kuu England kati ya Norwich dhidi ya Liverpool inatajwa kuwa kikwazo kwa timu ya Liverpool ambayo haijapoteza mchezo hata mmoja msimu...
INTER MILAN WASEPA NA KIJIJI KIZIMA CHA ENGLAND
INTER Milan inayoshiriki Serie A, Ligi Kuu ya nchini Italia inaonekana kuchukua nyota wengi kutoka Premier League.Ndani ya msimu mmoja imewapa shavu nyota watano...
KOCHA SIMBA APEWA ONYO KALI NA BODI YA LIGI, POLISI TANZANIA WAVURUMISHWA FAINI
Baada ya vituko kufululizo, Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), imeonekana imepania kuweka sawa na kuhakikisha nidhamu inaboresha katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.Kamati...
MANARA, NUGAZ, KOCHA YANGA WATAKUTANA “KIZIMBANI” KAMATI YA BODI YA LIGI
Baada ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kukutana katika kikao chake cha Februari 10, 2020....
MWAMUZI WA KONA YA MAAJABU YA YANGA AFUNGIWA NA BODI YA LIGI
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Februari 10, 2020 ilipitia mwenendo na...
WAANDISHI WAMPONZA AGGREY, APIGWA FAINI NA BODI YA LIGI
Ile tabia ya baadhi ya wachezaji na makocha kuwadharau waandishi wa habari kuhusiana na suala la mahojiano imemtokea puani nahodha wa Azam FC, Aggrey...
LICHA YA KUCHIMBISHWA SPURS, MUARGENTINA POCHENTINO ANA REKODI TAMU KWELI
LICHA ya Mauricio Pochentino kupigwa chini ndani ya Tottenham Hotspurs baada ya kudumu kwa miaka mitano na nafasi yake kuchukuliwa na Jose Mourinho bado...
MBWANA SAMATTA BWANA! KUMBE KITAMBO TU ANAPAMBANA
MBWANA Samatta anayekipiga Aston Villa kwa sasa mechi yake ya kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ilikuwa Machi 20, 2011dhidi ya TP Mazembe.Zama hizo...
LIPULI WANA JAMBO LAO KWA SIMBA
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa watapambana kupata pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Februari,15, Uwanja wa Samora.Nonga ni kinara...
YANGA: HATUNA CHAGUO JINGINE ZAIDI YA KUTAFUTA USHINDI
YANGA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, Februari 15 itakuwa na kibarua cha kumenyana na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa...












