MAN UNITED YANASA BONGE LA BEKI

0

MANCHESTER UNITED ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki Aaron Wan-Bissaka. Wan-Bissaka anatajwa kama miongoni mwa mabeki bora wa pembeni kwenye Ligi Kuu England.Klabu hiyo imefikia muafaka wa kulipa ada ya pauni milioni 50 (Sh. bilioni 146) ili kumsajili beki huyo wa pembeni wa Crystal Palace. Pamoja na ada hiyo, pia Wan-Bissaka ameahidiwa mshahara mnono na...

LUKAKU ANAONDOKA ZAKE MAN UNITED

0

Imeripotiwa kuwa Romelu Lukaku ameamua kuondoka Manchester United, hii ni kwa mujibu wa wakala wake.Straika huyo mwenye umri wa miaka 26 anatazamiwa kuachana na timu hiyo na uwezekano mkubwa ni kuwa atajiunga na Inter Milan msimu ujao wa 2019/20.Wakala wa Lukaku Federico Pastorello amesema kuwa staa wake amemweleza kuwa anataka kuondoka katika timu hiyo.Pastorello alidokeza kuwa Inter Milan ipo...

WABUNGE PIA WAMEONYESHA UDHAIFU KUHUSIANA NA TAIFA STARS, HUU SI WAKATI WA MAKUNDI

0

*Wakati mwingine wasialikwe kambini wakati wa mashindanoNa Saleh Ally, CairoWABUNGE walitaka kumtoa roho CAG, kisa aliwaita dhaifu, tena aliyeongoza vita hiyo ambayo wao waliita ni dharau ni Spika Job Ndugai.Huenda lilikuwa ni suala la matamshi akiwa na maana wao si imara, liliwaudhi hadi CAG akaitwa bungeni na kujadiliwa.Leo, kama kweli lile lilikuwa ni kosa, nao wamerudia baada ya kuwaita...

Shomari Kapombe bado yuko Simba

0

Usajili wa klabu ya Simba unaendelea, ambapo leo kupitia mitandao yao ya kijamii wamedhibitisha kumpa mkataba mpya beki wao wa kulia Shomari Kapombe.Shomari Kapombe amepewa mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo. Shomari Kapombe bado anafanya mazoezi ya kurudi kwenye hali yake ya kawaida baada ya kutoka kwenye majeraha.Beki huyo alipata majeraha akiwa na timu ya...

JAGUAR AFIKISHWA MAHAKAMANI, ATAENDELEA KUSOTA RUMANDE KAMA KAWA

0

Mbunge wa Jimbo la Starehe nchini Kenya na Mwanamuziki Charles Njagua maarufu Jaguar leo Juni 27 amefikishwa mahakamani akituhumiwa kutoa lugha ya chuki dhidi ya wafanyabiashara wageni hususani Watanzania na Waganda nchini Kenya.Mbunge huyo ataendelea kusota rumande kwa siku ya pili leo akisubiri uamuzi wa dhamana yake hapo kesho Juni 28.

EXCLUSIVE: KAPOMBE AONGEZA MIAKA MIWILI MIWILI SIMBA

0

Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo.Makubalia hayo hayo yamefikiwa baina ya klabu ya mchezaji kuendelea kutoa huduma kwa miaka miwili ijayo.Kapombe ambaye msimu uliomalizika hivi karibuni haukuwa mzuri kutokana na kusumbuliwa na majeruhi atakuwa mmoja wa wachezaji watakaoendelea na Simba msimu ujao.Simba wameendelea kuwaongezea mkataba wachezaji wao ambao wameshamaliza na...

Mimi ni shabiki wa Mtibwa na siyo Simba-Juma Kaseja

0

Wakati watu wengi wakiamini Juma Kaseja ni shabiki wa Simba Sc kutokana na yeye kucheza kwa muda mrefu katika klabu hiyo ya Kariakoo, leo amedhibitisha rasmi kuwa yeye siyo shabiki wa Simba.“Mimi siyo shabiki wa Simba SC, wakati mimi naanza kudaka timu ambayo ilikuwa juu ni Mtibwa Sugar. Ndiyo timu ambayo nilianza kuipenda”.“Kuna watu hawajui , mimi...

HILI NDILO BALAA LA MBRAZIL MPYAA ALIYETUA SIMBA, SI WA MCHEZO MCHEZO

0

MASHABIKI wa Simba wanatamba baada ya usajili wa mshambuliaji Mbrazili, Wilker Henrique da Silva ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili ya kukipiga Msimbazi.Usajili huo unaoendelea kufanywa na Simba, huenda ukawa majibu kwa watani wao wa jadi, Yanga ambao hivi karibuni walifanya usajili wa kishindo kwa kufanikisha saini za wachezaji tisa.Kupitia akaunti ya mitandao yao ya kijamii, Simba ilimtambulisha Mbrazil...

MBELIJIJI WA SIMBA ALETA KIBOKO YA TSHABALALA, KWASI

0

BAADA ya kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Simba, uongozi wa timu hiyo umepanga kusajili beki mwingine tishio atakayekuwa mbadala wa Mohammed Hussein ‘Tshabalala’.Simba inataka kumsajili beki mwingine wa pembeni namba tatu badala ya Mghana, Asante Kwasi ambaye alishindwa kuonyesha ushindani kwa Tshabalala ambaye msimu ujao hatakuwa sehemu ya kikosi hicho.Timu hiyo, tayari imewaongezea mikataba mipya...

YANGA YAKAMILISHA FASTA USAJILI CAF

0

MABOSI wa Yanga wapo kwenye dakika za mwisho za kukamilisha usajili wao wa msimu ujao kwa ajili ya kuwahi dirisha la usajili la Shirikisho la Soka Afrika (Caf) ambalo linafungwa Jumapili, Juni 30.Yanga washamalizana na wachezaji 10 ambao wataanza kuwatumia msimu ujao. Baadhi ya wachezaji ambao wamesajiliwa na Yanga ni Juma Balinya, Abdulaziz Makame, Ally Ally, Balama Mapinduzi na...