HAPA NDIPO MAJALADA YA STARS YANAPOJICHANGANYA, BADO TUNA NAFASI

0

TUMEANZA vibaya michuano ya Afcon mwaka 2019 huku sera yetu ikituambia kwamba ni zamu yetu kufanya makubwa na kufikia malengo kwa mwaka huu.Ikumbukwe kuwa nafasi yetu ya kushiriki Afcon imepatikana baada ya kupita miaka 39 hivyo tunapaswa tuwe na uchungu kwa namna moja ama nyingine kwa Taifa letu.Kwetu sisi kwa sasa lengo letu la kwanza ambalo ni kubwa kwenye...

FURAHA YA TAIFA IMEBEBWA NA TIMU YA TAIFA KWA SASA WACHEZAJI PAMBANENI

0

GANZI ambayo wanayo watanzania kwa sasa ni kuanza vibaya kwenye michuano ya Afcon hasa ukizingatia kwamba imepita miaka 39 bila timu yetu kushiriki.Hakuna wa kumlaumu kwa sasa kutokana na namna ambavyo tumeanza  na aina ya kikosi ambacho tulipambana nacho ambacho ni Senegal.Ukitazama namna mabao 2 waliyotufunga namna yalivyopatikana ilikuwa ni patashika kidogo kwa kila mchezaji kupambana ila mwisho wa...

TAMBWE AWAONYA SIMBA KWA JEMBE JIPYA LA YANGA

0

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ametamba kwamba Yanga wamelamba dume kwelikweli kwa kumsajili beki Mustapha Suleiman huku akiwaambia washambuliaji wa timu ya Simba, Meddie Kagere na John Bocco kuwa kazi wanayo.Yanga wamemalizana na Mustapha na kumtambulisha kama moja ya silaha zao mpya ambao watazitumia kwa msimu ujao. Wachezaji wengine ambao wamesajili na Yanga kwa msimu ujao ni Lamine...

BAADA YA KUTUA TP MAZEMBE, AMBOKILE AIBUKA NA MPYA

0

MARA baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea TP Mazembe, mshambuliaji Mtanzania, Eliud Ambokile amefunguka kuwa hiyo ni njia kwake ya kwenda kucheza soka la kulipwa Ulaya.Ambokile alijiunga na Mazembe hivi karibuni akisaini dau la Sh mil 50 akitokea Mbeya City iliyokubali kumuachia ili ajiunge na klabu hiyo kubwa Afrika akichukua nafasi ya Ibrahim Ajibu wa Yanga.Ambokile...

GADIEL AWATUMIA UJUMBE WA KIBABE KENYA, WALA HANA HOFU

0

BEKI wa kushoto wa Taifa Stars, Gadiel Michael, amewaondoa shaka Watanzania na kuahidi kupambana kufa na kupona katika mchezo wa leo Alhamisi dhidi ya Kenya.Taifa Stars na Kenya, kesho zitapambana kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon), ukiwa ni mchezo wa Kundi C, ambapo katika mechi zao za kwanza, zote zilifungwa kwa idadi sawa ya mabao. Taifa Stars...

YANGA KUTISHA AFRIKA NZIMA, HII NDIYO SABABU

0

ACHANA na Yanga mbovu ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, kwani ya msimu ujao itakuwa tishio kutokana na aina mpya ya usajili aliyokuja nayo Kocha Mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera.Yanga mpya ya msimu ujao inatarajiwa kuwa ya kikosi kipana tofauti na msimu uliopita kutokana na mapendekezo ya wachezaji ambao kocha huyo amependekeza kusajiliwa katika kukiimarisha kikosi chake.Timu hiyo hadi...

YANGA YASAJILI BEKI AFCON

0

HATIMAYE ahadi ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba imetimia baada ya kuzama mfukoni kwake na kufanikisha usajili wa beki kisiki wa Lipuli na timu ya taifa, Taifa Stars, Ally Mtoni ‘Ally Sonso’.Mwigulu amefanikisha usajili huo ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Wanayanga ambapo aliahidi kuwasaidia kusajili mchezaji mmoja wa ndani atakayependekezwa na benchi...

YANGA HII NI JEURI, MILIONI 930 KUSAJILI JEMBE

0

YANGA kwa sasa wana jeuri ya kumsajili mchezaji yeyote wamtakaye kutokana na kuwa na kitita cha Sh milioni 930 ambazo wamezipata katika harambee yao ya Kubwa Kuliko.Kwa wiki kadhaa nyuma, Yanga wamekuwa wakichangia fedha kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo ambapo Jumamosi iliyopita walifikia tamati zoezi hilo katika harambee kubwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar.Makamu Mwenyekiti...

TBL YAZINDUA KAMPENI YA FRIJI YA USHINDI

0

KAMPUNI ya Bia Nchini kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager  imezindu Kampeni ya Friji ya Ushindi kwa wadau wote wa soka ili kuhamasisha Watanzania kuishangilia Tanzania  ishinde iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Bar ya Juliana Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Primium Lager, Pamela Kikuli alisema hii ni Kampeni...

TAIFA STARS: KESHO LAZIMA KIELEWEKE MBELE YA KENYA

0

BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Gadiel Michael amesema kuwa kwa sasa wana nafasi ya kupata matokeo chanya mbele ya Kenya mchezo wa pili kwenye michuano ya Afcon nchini Misri.Tanzania na Kenya wote wameanza vibaya michuano ya Afcon baada ya kupoteza michezo yao ya ufunguzi ambapo Tanzania ilifungwa mabao 2-0 na Senegal huku Kenya ikipoteza mbele ya Algeria...