EYMAEL KUWATUMIA WACHEZAJI HAWA WATATU KUIMALIZA MBEYA CITY
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ataanza kuwatumia wachezaji wake wengine kesho mbele ya Mbeya City mchezo utakaochezwa Uwanja wa Taifa saa...
HUYO RONALDO NI NOMA NDANI YA SERIA A CHEKI ALICHOFANYA
JUVENTUS ya Cristiano Ronaldo ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Seria A baada ya kucheza jumla ya mechi 23.Ronaldo ni kinara ndani ya...
HAO AZAM FC WAIPANIA POLISI TANZANIA KESHO UHURU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kesho utapambana kuzipata pointi tatu za Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru.Azam...
MBELGIJI WA SIMBA ATOA KAULI YA KISHUJAA, WAAMUZI WATAJWA
KUELEKEA kwenye mechi ya kesho kati ya Mtibwa Sugar na Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba ametoa kauli ya kishujaa...
KAGERA SUGAR YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA NIZAR KHALFAN KWA PIGO ALILOPATA
Uongozi wa Kagera Sugar FC umetuma salamu za pole kwa mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Nizar Khalfan kutokana na kufiwa...
CHIRWA ABEBESHWA BONGE MOJA YA ZIGO HUKO AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC, umempa zigo kubwa mshambuliaji wao namba moja , Obrey Chirwa kuiongoza timu yake kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi...
KUMEKUCHA MSIMBAZI, MATOLA SASA KUTIMKA NDANI YA TIMU
IMEELEZWA kuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola yupo kwenye harakati za kuondoka ndani ya Simba ili aongeze ujuzi wake kwenye taaluma ya ukocha.Habari...
SIMBA KAZINI TENA KESHO MBELE YA MTIBWA SUGAR, MOROGORO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kesho watakuwa na kazi ya kumenyana na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa...
SINGIDA UNITED HUKO MAMBO BADO
SINGIDA United imeanza kwa kuangukia pua tena mzunguko wa pili kwa kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na Mwadui FC ya Shinyanga.Sare hiyo inaifanya...
HUYU HAPA KOCHA BORA WA MWEZI JANUARI, MZUNGU WA SIMBA NA MALALE HAMSINI WAPIGWA KIKUMBO
VerifiedKOCHA wa timu ya Azam FC ya Dar es Salaam, Aristica Cioaba amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom...












