ALLIANCE FC WAMCHUNIA MALALE HAMSINI

0

KOCHA wa Alliance FC, Malale Hamsini amesema kuwa tayari amemaliza mkataba wake ndani ya kikosi hicho hivyo kwa sasa yupo huru kujiunga na kikosi kingine kwa kuwa bado hajaitwa mezani.Akizungumza na Salehe Jembe, Hamsini amesema kuwa kwa sasa hayupo na timu ya Alliance baada ya kumaliza mkataba wa kuitumikia timu hiyo."Nimemaliza mkataba wangu na Alliance hivyo bado sijaongeza mkataba...

MAKOSA YA MSIMU ULIOPITA YAIPA SOMO SINGIDA UNITED

0

UONGOZI wa Singida United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Fred Minziro umesema kuwa makosa yaliyojitokeza msimu uliopita hayatatokea tena msimu mpya wa 2019/20.Akizungumza na Salehe Jembe, Ofisa Habari wa Singida United, Cales Katemana amesema kuwa wametambua namna walivyokwama kuleta ushindani msimu uliopita hali iliyofanya wajipange sawa kwa msimu ujao."Kwa nsimu uliopita haukuwa bora kwetu kutokana na namna tulivyoyumba na...

NYOTA MPYA WA AZAM FC APANIA MAKUBWA

0

NYOTA mpya wa Azam FC, Idd Suleiman 'Nado' amesema kuwa ana kazi kubwa ya kufanya kwa sasa kutokana na kujiunga na moja ya timu kubwa kwa bongo.Nado jana ametangwaza rasmi kuitumikia Azam FC baada ya kupewa kandarasi ya miaka miwili akitokea Mbeya City.."Ninajua kwa sasa nipo kwenye timu mpya ambayo ni miongoni mwa timu kubwa Tanzania hivyo nitapambana kufanya...

TIFFAH AMRUSHA ROHO BABA YAKE

0

DAR ES SALAAM: Watoto wawili ambao ni uzao wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mwenye pesa zake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ na Nillan Nasibu ‘Prince Nillan’, wamemrusha roho baba yao.Wiki iliyopita watoto hao walijiachia na ndinga ya bei mbaya aina ya Maserati inayosemekana ni ya bwana wa sasa...

YANGA NOMA, YAMALIZANA NA MAJEMBE TISA FASTA, LISTI YAO KAMILI HII HAPA

0

UNAAMBIWA Yanga si ya mchezomchezo kwani hawataki kabisa utani, mpaka sasa tayari wamemalizana na majembe makali tisa ambayo ni chaguo la Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera. Majembe mapya 8 ambayo  tayari yana uhakika wa kuvaa jezi za njano msimu ujao yataungana na kiungo fundi ambaye ameongeza mkataba na kufanya idaida yao igote namba 9 ni pamoja na:- Patrick Sibomana ametoka RwandaLamine Moro,...

MASHINE HIZI 6 SIMBA UHAKIKA, MABOSI WAMEMALIZANA NAO KILA KITU

0

HOMA ya Usajili ndani ya Ligi Kigi Kuu Bara inazidi kupanda huku vikumbo vikiongezeka kwa kila timu kuhitaji kufikia malengo yake.Tayari Simba imewatangaza wachezaji wake sita ambao msimu ujao ni uhakika kuwa ndani ya kikosi hicho cha mabingwa wa Ligi Kuu Bara.Hawa hapa mashabiki wana uhakika wa kuwaona wakiwa na jezi za Simba  kwa kuwa wamemalizana na Simba na...

MANARA AWACHANA YANGA BALAA KISA BALINYA, ‘HANA LEVO YA KUCHEZA SIMBA’

0

Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, juu ya taarifa za timu yao kudaiwa kumtaka Juma Balinya.

IMEVUJA!! SIRI NYINGINE YAFICHUKA MGANDA WA SIMBA ALIVYOTUA YANGA

0

BAADA ya Yanga juzi Jumamosi kutikisha katika usajili kwa kumsajili mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uganda, Juma Balinya ambaye alikuwa akitakiwa na Simba sasa siri ya usajili huo imefichuka.Wakala wa mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, Patick Gakumba, ambaye alipewa jukumu la kuhakikisha Balinya anatua Simba na uongozi wa timu hiyo amefunguka kila kitu kuhusiana na kilichotokea kwa mshambuliaji...

BALINYA: OKWI AMENILETA YANGA

0

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Juma Balinya raia wa Uganda amefunguka kwamba moja ya watu ambao wamechangia yeye kutua Yanga ni mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi.Balinya aliyekuwa akiwaniwa na Simba juzi Jumamosi alitambulishwa Yanga baada ya kumalizana na mabosi wa timu hiyo chini ya mwenyekiti wake, Dk Mshindo Msolla. Balinya ndiye mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uganda kwa msimu...