STARS WAPEWA CHAPUO KUTUSUA AFCON

0

SAMUEL Etoo mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroon,Barcelona, Chelsea na Inter Milan amesema kuwa Stars ina nafasi ya kufanya maajabu endapo wachezaji watajituma."Nimeshangazwa kuskia kwamba Tanzania inashiriki michuano ya Afcon baada ya kupita miaka mingi kushiriki wakati nacheza na timu ya Tanzania nilikuwa napambana na wachezaji wenye vipaji."Ila kwa kuwa kwa sasa wamepata nafasi ya kushiriki...

Kwanini tunasita kumwiita Manula , Tanzania one?

0

Wakati niko shule msingi nilikuwa najaradia madaftari yangu kwa magazeti ya michezo. Nilikuwa mteja mkubwa sana wa magazeti haya. Nilipenda kuyasoma, nilikuwa nafanya kila niwezalo ili nipate pesa ya kununua magazeti haya ili nisome tu.Hii ndiyo ilikuwa moja ya furaha yangu. Niliiba hela nyumbani ili nikanunue magazeti ya michezo tu. Hata wanafunzi wenzangu walikuwa wanajua ni wapi pakuyapatia...

STARS KUOGELEA MIZAWADI KIBAO AFCON

0

Michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 nchini Misri sio ya kitoto kwani bingwa wa michuano hiyo analamba mkwanja mrefu.Tanzania inapeperusha Bendera kwenye michuano hii ikiwa kundi C ambalo lina timu nyingine ambazo ni Senegal, Kenya na Algeria na mchezo wa kwanza kwa Tanzania utakuwa Juni 23 dhidi ya Senegal.Hivyo endapo atatwaa ubingwa itogelea mizawadiZawadi za michuano hiyo...

KABLA YA JUNI 30 MRITHI WA NDAYIRAGIJE KUJULIKANA

0

UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa unaendelea na mchakato wa kumtafuta Kocha Mkuu atakayebeba mikoba ya Etienne Ndayiragije aliyetimkia Azam FC.Akizungumza na Salehe Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa kwa sasa michakato inaendelea ambapo tayari wameshawafanyia usaili makocha wengi wakubwa."Tunafanya usaili kwa umakini ili kumpata kocha atakayebeba mikoba ya mwalimu wetu ambaye ameondoka ,hivyo hatutakurupuka kumpata...

KALA JEREMIAH AJIANDAA KUVUTA JIKO

0

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Kala Jeremiah amesema kuwa kwa sasa anapambana kujitoa kwenye dhambi moja ya kuzini kwa kujipatia jiko lake hivi karibuni.Kala Jeremiah kwenye ngoma yake ya 'Dear God' ambayo ilimtambulisha vema alisema kwamba "Nisamehe dhambi ya kuzini" hali iliyomfanya ajithmini."Kwa sasa nipo kwenye mpango wa kuoa ili niepukane na dhambi niliyoomba msamaha, pia nashukuru mashabiki...

KOCHA YANGA AMLILIA HERITIER MAKAMBO

0

KOCHA wa zamani wa timu ya Yanga, Azam FC na Singida United Hans Pluijm amesema kuwa itachukua muda mrefu kwa mbadala wa mshambuliaji wa Heritier Makambo kuvaa viatu vya mshambuliaji huyo ndani ya ligi.Pluijm amesema kuwa kwenye suala la washambuliaji ambao wamezoea mazingira ya ligi ghafla ni pamoja na Makambo ambaye amekuwa ni injini ya mabao ndani ya Yanga hivyo...

NYOTA HUYU SIMBA ATAJWA KUBEBA MIKOBA YA BOCCO KWENDA POLOKWANE

0

IMEELEZWA kuwa baada ya uongozi wa timu ya Polokwane FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kufeli kuipata saini ya nahodha wa Simba, John Bocco, sasa wamegeuza kibao kwa kumtaka nyota mwingine akazibe nafasi ya Bocco.Habari zimeeleza kwamba baada ya Uongozi wa Polokwane kushindwa kuipata saini ya Bocco sasa wamezungumza na uongozi wa Simba ili kuipata saini ya Adam...

EXCLUSIVE: SIMBA YAMTANGAZA BENO KAKOLANYA

0

UONGOZI wa Simba leo umemtangaza aliyekuwa mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya kujiunga na kikosi hicho msimu ujao kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili. Kakolanya alivunja mkataba wake na Yanga kwa kudai stahiki zake hali iliyoSimba sasa inakuwa na magolikipa watatu ambao ni pamoja na Aishi Manula na Deogratius Munishi 

SINGIDA UNITED YA MINZIRO YASAKA WACHEZAJI 10 KATI YA 500

0

UONGOZI wa Singida United umesema kuwa wamejitokeza wachezaji zaidi ya 500 kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye kikosi hicho ambalo lilianza Juni 12 litakamilika Juni 16.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Singida United,Cales Katemana amesema kuwa wamepokea jumla ya wachezaji 500 ambao wanafanyiwa mchujo chini ya kocha Felix Minziro kuwapata wachezaji 10."Tanzania kuna vipaji vikubwa na wengi wanapambana...