ACHENI KULALAMIKA, UNACHOPATA SASA NI KILE ULICHOPANDA 2018/19
NA SALEH ALLYUSAJILI umekuwa ukipamba moto kwa kilaklabu kwa sasa. Kila upande unataka kujiwekavizuri kwa ajili ya msimu ujao.Hili si zoezi geni kutokea katika mchezo wasoka kwa kuwa kila baada ya msimu kwisha,taratibu za kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujaoHuanza.Wakati usajili unaendelea, unaona namnaambacho kinafanyika, wachezaji wengi kutokanje wameendelea kuwa gumzo na lazimawanafaidika sana.Naweza kusema wachezaji hao wanafaidikakwa kiasi...
CAF YAMRUHUSU KESSY KUIVAA SENEGAL JUMAPILI
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemruhusu beki wa timu ya soka ya taifa Taifa Stars, Hassan Kessy,kucheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Senegal, utakaofanyika Juni 23,katika Uwanja wa 30 June Cairo nchini Misri.Maamuzi hayo ya CAF ya kumruhusu Kessy kucheza mchezo dhidi ya Senegal ni baada ya kujiridhisha,kuwa kadi mbili za njano, ambazo zilikuwa awali zinasemekana zingemfanya asicheze mchezo...
Wanyama; ‘Wanasema Kenya na Tanzania ndio underdogs!, tumebadilika
NAHODHA wa Kenya, Victor Wanyama amewaonya wale wote wanaozibeza Harambee Stars na timu ya Taifa ya Tanzania katika kundi la Tatu la michuano ya CAN inayotaraji kuanza kutimua vumbi lake usiku wa Leo kwa wenyeji Misri kuwavaa Zimbabwe katika mchezo wa Kundi la Kwanza.Kenya itacheza na Algeria usiku wa Jumapili hii, ikiwa ni muda mfupi baada ya...
TAIFA STARS MUDA WA KUTUSUA NI SASA FANYENI KWELI
MWENDO wa hesabu kali Kwa sasa ukizingatia kwamba tumekwama kwa muda wa miaka 39 tukishuhudia wengine wakionyesha maajabu yao kwenye michuano mikubwa ya Afcon sasa nasi tumepenya kwenye tundu la sindano. Nafasi hii adimu inapaswa itumiwe kwa unyenyekevu wa kipekee hasa kwa wale ambao wamepewa dhamana ya kupeperusha Bendera ya Taifa letu kubwa Tanzania. Wachezaji ambao wamechaguliwa ni kazi yao kutimiza...
WACHEZAJI SIMBA WAGOMA KISA MPUNGA
Baada ya kikosi cha Simba (U20) kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara, imeelezwa kuwa wachezaji wa timu hiyo wamevunja kambi.Kikosi cha vijana cha Simba kimevunja kambi kufuatia kutolipwa fedha zao za mahahara kwa muda wa miezi sita.Taarifa imesema kuwa wachezaj takribani wote wa kikosi hicho wameondoka kuelekea makwao ikiwa ni kigezo cha wao...
ZAHERA ABADILI UPEPO YANGA
BOSI wa benchi la ufundi la Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amewasisitiza viongozi wa timu hiyo kuwapa mikataba mipya kwa haraka wachezaji waliomo kikosini humo ambao wamemaliza na wapo kwenye malengo yake.Yanga hadi sasa tayari wameshawasajili wachezaji wa timu za nje ambao ni Sadney Urithob, Issa Bigirimana, Patrick Sibomana, Maybin Kalengo, Juma Balinya, Lamine Moro, Selemani Mustapha...
STARS YAPEWA RAI YA KUCHUKUA KIKOMBE MISRI, LAZIMA IFUATWE
AKILI na mawazo ya mashabiki wengi wa soka hapa nchini vyote vimehamia nchini Misri ambako michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inatarajiwa kuanza leo Juni 21, mwaka huu.Kila mmoja hapa nyumbani naamini atakuwa akifuatilia kwa kina namna timu yetu ya taifa, Taifa Stars itakavyokuwa inafanya kwenye michuano hiyo tunayoshiriki kwa mara ya pili baada ya awali kushiriki mwaka...
KISA HEKARI 15 KWA TAIFA STARS, MAKONDA ATOA ONYO KALI KWA ‘WANAOHOJIHOJI’ – VIDEO
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa eneo la hekari 15 kwa shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha soka.Makonda ameyasema hayo wakati wa harambee ya kuichangia Taifa Stars iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambako aliwaonya watu wanaohoji viwanja hivyo amevipataje.Hata hivyo, alisema yeye anapambana kuwaomba...