WACHEZAJI SABA SIMBA KUACHWA – VIDEO

0

Kwa tetesi zilizopo hawa hapa ndiyo wachezaji wa timu ya Simba ambao hawapewi nafasi ya kuongezewa mikataba mipya.

MZEE KILOMONI ATAKUFA YEYE, SIMBA ITABAKI – VIDEO

0

Simba wametoa ufafanuzi kuhusu suala la udhamini wa Mzee Kilomoni ndani ya klabu ya Simba huku wakisema kuwa Mzee Kilomoni siyo mdhamini hivyo atambuliki katika klabu hiyo huku wanasimba wakitaka waachane na maneno yake.

BILIONI MOJA NA MILIONI TANO KUKABIDHIWA YANGA – VIDEO

0

Klabu ya Yanga inatarajia kufanya jambo kubwa ambalo litakalo wasogeza mbele kisoka na kuleta mapinduzi nchini, huku wakisema wao wamefanikiwa kwa asilimia kidogo katika kukusanya kiasi ambacho wao walikuwa wana malengo nacho cha kukusanya kiasi  cha Sh Bilioni 1.5Fedha hizo zinatarajiwa kuwasilishwa siku ya kesho Jumamosi katika ukumbi wa Daimondi Jubilee kwa uongozi mpya wa klabu hiyo ilii kuangalia...

ISHU YA JOHN BOCCO KUSAINI POLOKWANE YAIBUA MENGINE MSIMBAZI – VIDEO

0

Kufuatia ile ishu ya mchezaji wa Simba, John Bocco kuonekana akisaini mkataba mwingine na Polokwane ya Afrika Kusini, uongozi wa klabu hiyo chini ya Ofisa Mtendaji wake, Crescentius Magori, umefunguka kwa kuja na tamko juu ya suala hilo.

EDEN HAZARD APATA KIGUGUMIZI KUTOFAUTISHA PREMIER LEAGUE NA LA LIGA

0

EDEN Hazard mchezaji wa Real Madrid ambaye leo ametambulishwa rasmi baada ya kukamilisha utaratibu wa uhamisho kutoka kikosi cha Chelsea amesema kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya Premier League na La Liga.Hazard amesema kuwa utofauti upo ila hafikirii kama kuna ligi ambayo ni bora kuliko nyingine."Premier League na La Liga ni vitu viwili tofauti lakini sifikirii kama kuna ligi...

NYOTA WA AFRIKA WANAOKIPIGA PREMIER KATIKA NAMBA NA MABAO WALIYOPACHIKA KWENYE TIMU ZAO ZA TAIFA

0

MOHAMED Salah kwenye michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 anashika namba moja kwa mastaa wanaokipiga Premier League.Anapeperusha Bendera ya Misri ameanza kuitumikia timu ya Taifa mwaka 2011 na mpaka sasa amecheza jumla ya mechi 62 na amepachika mabao 39.VICTOR Wanyama anapewa namba mbili kwa mastaa wanaokipiga Premier LeaguSadio ManeRiyad MahrezChristian AtsuWilfried ZanaAlex Iwobi

DULLY SYKES AMTAJA ALIYEMTUNGIA NGOMA YAKE YA NIKOMESHE

0

MKONGWE katika gemu la Bongo Fleva, Dully Sykes,  amesema kuwa ngoma yake mpya ya Nikomeshe hajaitunga yeye bali ni ubunifu tu ameufanya kwenye kazi yake ya sanaa.Nyota huyo wa muziki wa vijana, amesema amekuwa karibu na Harmonize kwa ajili ya kufanya muziki wa kibiashara.“Katika wimbo wangu mpya na Harmonize wa Nikomeshe, ule kwanza sikutunga mimi, nilimwambia Harmonize anitengenezee wimbo...

RATIBA EPL 2019/20 YATOKA, MAN U KUANZA NA CHELSEA

0

MABINGWA  wa Ligi Kuu England, Manchester City wataanza kutetea ubingwa wao dhidi ya West Ham wakati Manchester United itafungua ligi dhidi ya Chelsea Agosti 11 katika msimu wa 2019-20.Katika ratiba hiyo ya Ligi Kuu England iliyotolewa leo inaonyesha mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Liverpool,  watafungua msimu nyumbani dhidi ya timu iliyopanda daraja la Norwich City hapo Ijumaa ya...

MAZITO YA OFISA MTENDAJI MKUU CRESCENTOUS MAGORI, BUNJU, MABADILIKO VYATAJWA

0

Jana tarehe 12 June kilifanyika kikao cha Bodi ya Simba Sports Club Company Limited. Kikao hiki kilifikia maazimio mbali mbali juu ya maendeleo ya Klabu yetu.1.0 Taarifa juu ya maendeleo ya mabadiliko ya muundo wa Klabu kuwa kampuni ( Transformation)Itakumbukwa kuwa Klabu ilijipa muda wa mpito ( transition) wa kukamilisha ubadilishaji wa muundo wa mabadiliko ya Klabu kuwa Kampuni....