AZAM FC WABABE WA WACONGO KAZINI LEO FAINALI
LEO kikosi cha Azam FC ambao ni wababe kwa timu zote za Congo walizokutana nazo ambazo ni TP Mazembe na Manyema FC kitakuwa na kazi ya kumenyana na KCCA ya Uganda kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame uwanja wa Nyamirambo majira ya saa 12:00 jioni.Azam FC ni watetezi wa kombe hili ambalo walilitwaa msimu uliopita kwa kuifunga...
YANGA: MSIMU UJAO TUTAFANYA MAAJABU
MLINDA Mlango wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Metacha Mnata amesema kuwa msimu ujao lazima wapambane kufikia malengo ya timu kutokana na mipango waliyojiwekea.Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao na hesabu zao kubwa ni kutwaa ubingwa uliopo mikononi mwa Simba."Kazi ipo msimu ujao ukizingatia kwamba kila timu imefanya usajili makini ni...
SIMBA YATUMA UJUMBE MZITO KWA YANGA
JOHN Bocco nahodha wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufa na kupona kutetea taji lao na kufanya vyema michuano ya kimataifa.Simba ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wana kibarua kizito cha kutetea kombe hilo kutokana na mipango ya wapinzani wao Yanga kupigia hesabu ubingwa. Hesabu hizo ni ujumbe mzito kwa Yanga na timu nyingine zinazoshiriki ligi ambazo ni...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
GWAMBINA FC YAMTENGEA MAMILIONI NYOTA WA YANGA
TIMU ya Gwambina FC ya Mwanza ipo mtaani ikisaka saini ya kiungo wa Yanga Pius Buswita ambaye kwa sasa ni mchezaji huru.Buswita amemaliza mkataba wake na Yanga na hajaongezwa kandarasi nyingine hivyo yupo huru kwa sasa.Taarifa zinaeleza kuwa tayari mabosi wa Gwambina FC wameweka mezani dau la milioni 10 kumpata nyota huyo.
TANZANIA PRISONS, KAGERA SUGAR WAIGOMBANIA SAINI YA NYOTA HUYU SIMBA
MOHAMED Rashid 'Mo Rashid' anayekipiga Simba kwa sasa ameziingiza vitani timu nyingi za Ligi Kuu Bara zinazohitaji saini yake ikiwa ni pamoja na Kagera Sugar na Tanzania Prisons. Mo Rashid amemaliza mkataba wake ndani ya KMC ambapo alikuwa anacheza kwa mkopo.Habari zinaeleza kuwa Simba imeonyesha nia ya kumpeleka kwa mkopo kukipiga JKT Tanzania msimu ujao.Mo Rashid amesema kuwa kazi...
KAGERA SUGAR: BADO TUPO SOKONI KUSAKA MAJEMBE
MECKY Maxime amesema kuwa kwa sasa tayari amefanikiwa kufanya usajili kwa wachezaji aliokuwa anawahitaji hivyo ni nafasi chache zimebaki.Maxime amesema kuwa msimu ujao anahitaji kuleta ushindani mkubwa na anaamini kwa usajili ambao wameufanya watafanya vizuri."Hatuna tatizo kubwa kwa sasa kwani kwa asilimia kubwa tumekamilisha usajili kwa wachezaji ambao tulikuwa tunahitaji kuwapa kandarasi, ni nafasi chache ambazo zimebaki hivyo muda...
KAZI IMEANZA MTIBWA SUGAR, WAINASA SAINI YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA
MTIBWA Sugar wameanza kazi ya usajili msimu huu baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji kutoka African Lyon, Awadh Salum.Salum ni nyota pia ndani ya kikosi cha timu ya Taifa chini ya miaka 23 msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar.Huu ni usajili wa kwanza kwa Mtibwa Sugar ambao msimu uliopita walishiriki kombe la Shirikisho Afrika.
KASSIM KHAMIS, IDDY SULEIMAN WAMPA WAKATI MGUMU NYOTA AZAM FC
KUSAJILIWA kwa nyota wa Mbeya City FC, Iddy Suleiman, Kassim Khamis kutoka Kagera Sugar kumefanya nafasi ya mshambuliaji Mbaraka Yusuph kuwa finyu hali inayowafanya mabosi hao kufikikria kumtoa kwa mkopo Mbaraka Yusuph.Yusuph alitolewa kwa mkopo Namungo FC na tayari amemaliza mkataba wake kwa sasa amerejea Bongo akiisubiri timu irejee kutoka Rwanda ambao inashiriki michuano ya Kagame na leo inacheza...