YANGA MPYA YANGA ATAJA SIKU YA KUTUA BONGO
FAROUK Shikalo mlinda mlango wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hana taabu yoyote kujiunga na mabosi hao anachosubiri ni simu tu atie timu Bongo siku yoyote kuanzia sasa. Nyota huyo alikuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars iliyokuwa ikishiriki michuano ya Afcon iliyomalizika jana na alikuwa na klabu yake ya Bandari iliyokuwa ikishiriki michuano ya...
UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO
MANCHESTER United leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Inter Milan mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Taifa wa Singapore.United imecheza mchezo wa kiushindani na mzuri na walikuwa wakitengeneza nafasi nyingi za wazi.Mshambuliaji chipukizi Mason Greenwood amezidi kutakata baada ya kufunga bao pekee la ushindi leo.Huu unakuwa mchezo wake wa pili kufunga kwani hata mchezo wake wa...
BREAKING: MECHI NNE KALI ZA KIRAFIKI ZA SIMBA AFRIKA KUSINI
KWA sasa Simba ipo Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Hii hapa ratiba ya mechi za kirafikiJulai 23Simba v Orbret TVETJulai 24Simba v Platinum StaersJulai 27Simba v Township RollersJulai 30Simba v Orlando Pirates
CHEKI NAMNA MAKUNDI YA AFCON MWAKA 2021 YALIVYO, TANZANIA SAHANI MOJA NA WAARABU
MICHUANO ya Afcon nchini Misri mwaka 2019 imefika tamati na taifa la Allgeria wamebeba ndoo yao kwa mara ya pili baada ya miaka 29 baada ya kuwapiga bao 1-0 Senegal.Tayari makundi ya kufunzu Afcon mwaka 2021 tayari makundi yameshatoka ikiwa ina maana kwamba mbio zimeshaanza kwa safari ya CameroonCheki kundi la Stars lilivyo na kundi la mabingwa Algeria lilivyo:-KUNDI...
JESHI ZIMA LA SIMBA HILI HAPA
MABOSI wa Simba wameweka wazi jeshi lao ambalo watalitumia kwa msimu ujao ambapo kikosi hicho kitaundwa na nyota 26 pekee.Simba wametangaza kikosi hicho ambacho ndiyo watakitumia kwa msimu ujao kwenye michuano yote ambayo watashiriki ikiwemo ya Ligi Kuu Bara, Kombe la Mapinduzi na Ligi ya Mabingwa Afrika.Mtendaji mkuu wa Simba, Crescentius Magori ameliambia Championi Jumatano, kuwa wameshamaliza usajili wao...
BUNJU KUMENOGA, UWANJA WA SIMBA UMEFIKIA HATUA HII
MAMBO yanazidi kuwa moto ndani ya Simba ambapo kwa sasa kazi ya uboreshaji wa uwanja wa Bunju inazidi kwenda kwa kasi.Huu hapa ni muonekano wa uwanja wa Bunju ambao utatumika na Simba kwa ajili ya mazoezi. Kwa mujibu wa Ofisa Mtendaji wa Simba Crescentius Magori amesema kuwa uwanja huo utakamilika mapema kabla ya mwezi Oktoba.
KOCHA MDOGO AMPA KICHAPO KAKA YAKE NA KUTWAA KOMBE LA AFCON
ALIOU Cisse Kocha Mkuu wa Senegal jana aliadhibiwa na mdogo wake waliyepishana siku moja tu kuletwa duniani.Hivvyo kocha mdogo amempa kichapo kaka yeka kisha timu yake ikatwaa kombe la Afcon.Senegal ambayo ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Algeria kwenye mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Misri.Djmel Belmadi kocha wa Algeria ni mdogo kwa kocha wa Senegal kwa kupishana...
YANGA WAJIPANGA KUWEKA KAMBI NJE YA NCHI BAADA YA DROO YA CAF
FRANK Kamugisha, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Mashindano ndani ya Yanga amesema kuwa mpango wa kuweka kambi nje ya nchi haujayeyuka kinachosubiriwa ni droo ya Caf kuchezeshwa kisha watakwea pipa.Yanga awali ilipanga kuweka kambi nje ya nchi na China ilikwa inatajwa kwa ajili ya matayarisho ya msimu ujao baada ya kukamilisha zoezi la usajili kwa sasa wapo Morogoro."Mpango...
HICHI NDICHO KILICHOMPA SHAVU BILAL ALLIANCE
ATHUMAN Bilal ndiye mrithi wa mikoba ya Malale Hamsin aliyekuwa anakinoa kikosi cha Alliance FC.Mwenyekti wa Kamati ya mashindano ya Alliance, Yusuph Budod amesema kuwa wamekubaliana kamati na kukubali uwezo wa Bilal hali iliyofanya wampe kandarasi ya kukinoa kikosi hicho msimu ujao na atasaidiana na wengine ambao ni Kessy Mziray na Gilbert Dady."Tunaamini uwezo wa Bilal hasa ukizingatia alifanya...
SIMBA: KWA USAJILI HUU NI MWENDO WA MAKOMBE TU
NYOTA mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa kwa namna kikosi kilivyo na kambi ya Afrika Kusini ilivyonoga lazima watetee kombe lao na kuleta ushindani kimataifa.Simba imeweka kambi nchini Afrika Kusini ikiwa ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao imesajili nyota kadhaa wakali ikiwa ni pamoja na Gadiel Michael na Beno Kakolanya ambao walikuwa na Ajibu Yanga."Uhakika...