KCCA WAAMBIWA NA AZAM FC DAWA YAO ISHAPATIKANA KESHO WANAKALISHWA

0

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wapinzani wao KCCA kesho wasahau kuwatungua tena kama walivyofanya kwenye mchezo wa awali tayari dawa yao wameshaipata.Mchezo wa awali Azam FC ilikubali kuchapwa bao 1-0 dhidi ya KCCA ya Uganda kesho watakutana nao kwenye mchezo wa hatua ya fanali kwenye michuano ya Kagame inayofanyika nchini Rwanda.Akizungumza na Saleh Jembe, Ettiene Ndayiragije, Kocha Mkuu...

MABINGWA WA AFRIKA ALGERIA WANATISHA KINOMA

0

ALGERIA mabingwa wapya wa Afrika wanatisha kwani licha ya wapinzani wao Senegal kutawala mchezo kwa kupiga jumla ya pasi 320 huku wao wakipiga jumla ya pasi 201 bado walilinda bao lao.Bao la mabingwa hao lilifungwa kwa shuti kali lililopigwa na Bagdad Bounebdjah na lilimgonga beki wa Senegal, Cheikhou Kouyate kabla ya kuzama nyavuni.Jitihada za mshambuliaji Sadio Mane hazikuzaa matunda...

NAMUNGO FC, MTIBWA SUGAR, MBAO FC ZAINGIA ANGA ZA MWADUI FC

0

MUSSA Mbissa mlinda mlango wa Mwadui FC amesema kuwa ana ofa ya timu tatu mkononi mwake zikitaka kupata saini yake.Akizungumza na Saleh Jembe, Mbissa amesema kuwa bado anafikiria ni timu ipi ataitumikia msimu ujao."Uwezo wangu umefanya timu nyingi zikubali na kunifuatilia pia, kwa sasa nina ofa tatu mkononi hivyo kwenye ofa kubwa ndipo nitasaini," amesema.Habari zinaeleza kuwa timu ambazo...

YANGA: TUNASUKA KIKOSI MATATA

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wamejipanga kufanya maajabu msimu ujao hivyo watatumia muda huu wa maandalizi kusuka kikosi imara.Akizungumza na Saleh Jembe, Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kusuka kikosi makini."Tunajua msimu ujao utakuwa na ushindani pia tuna kazi ya kufanya kimataifa hivyo tunaandaa kikosi imara cha ushindani," amesema.Yanga imeweka kambi Morogoro,...

MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE

0

LIONEL Messi ni mshambuliaji wa Barcelona na nahodha pia wa kikosi hicho amesema kuwa hana neno juu ya usajili wa nyota mpya Antonie.Messi amesema kuwa hana neno la kusema juu ya usajili wa Antoine Griezmann ndani ya kikosi hicho."Sina la kusema juu ya usajili wake ndani ya kikosi chetu," amesema.

AZAM FC YAFICHUA SIRI YA USHINDI MBELE YA WACONGO

0

ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa haikuwa rahisi kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kagame kutokana na ushindani walioupata ila jitihada ziliwabeba.Azam imetinga  hatua ya fainali ya michuano ya Kagame baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya AS Maniema ya Congo baada ya kumaliza dakika 120 bila kufungana."Haikuwa rahisi kutinga hatua hii, kila timu...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

DIDA: MANULA ALINIPA HASIRA YA KUPAMBANA

0

DEOGRATIUS Munish 'Dida' amesema kuwa kuwekwa kwake benchi na mlinda mlango namba moja wa Simba Aish Manula kulimuongezea hasira ya kupambana.Dida kwa sasa ameachana na Simba baada ya kumaliza kandarasi yake ya mwaka mmoja alikuwa anawekwa benchi muda mwingi na Manula wakati alipokuwa Simba."Kazi ya kumpanga nani aanze haikuwa mikononi mwangu, kocha ndiye aliyekuwa anaamua hivyo sikuwa na jinsi."Hali...

KUMBE! CAF NDO CHANZO ZA VIPORO BONGO

0

UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa sababu kubwa zilizofanya msimu uliopita kuwe na viporo vingi kwa timu ni kubadilishwa kwa ratiba ya michuano ya CAF.Wilfred Kidao Katibu Mkuu wa TFF amesema kuwa :"Changamoto kubwa kwenye ratiba ya ligi ilitokana na CAF kubadilisha kalenda yake ya mashindano wakati ligi yetu ilikuwa tayari imeanza,".Msimu mpya wa ligi unatarajiwa...

KAGERA SUGAR YAMVUTIA KASI MUIVORY COAST KUMRITHI KASSIM KHAMIS

0

WILLFRED Kouroma mshambuliaji wa Biashara United raia wa Ivory Coast ameingia kwenye rada za uongozi wa Kagera Sugar ambao wanaimarisha kikosi.Inaelezwa kuwa Kagera Sugar wanahitaji huduma ya Kouruma ambaye ataziba pengo la Kassim Khamis ambaye ametimkia Azam FC.Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa kazi kubwa kwa msimu ujao ni kuleta ushindani msimu ujao."Hesabu zetu ni kuona msimu...