Stand United yashuka rasmi daraja!
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Stand United ya Shinyanga rasmi wameshuka daraja baada ya kufungwa na JKT Tanzania kwa goli 2-0 na JKT Tanzania.Timu mbili ambazo zitacheza playoff (Michezo ya mitoano ) ni Kagera Sugar aliyeshika nafasi ya 18 na Mwadui FC aliyeshika nafasi ya 17.Mwadui na Kagera watacheza na...
RUVU YAKOMAA KUBAKI TP, MATOKEO NA TIMU ZILIZOSHUKA DARAJA HAYA HAPA
LEO Ligi Kuu Bara Tanzania ilikuwa inafika tamati ambapo mbivu na mbichi zimejulikana kuanzia bongwa na zile zitakazoshuka daraja.Bingwa ni Simba ambaye amemaliza ligi akiwa na jumla ya pointi 93.African Lyon na Stand United zimeshuka daraja moja kwa moja.Kagera Sugar ipo nafasi ya 18 ikiwa na pointi 44 ikiwa na tofauti ya mabao ya kufungwa ambapo Stand United wamefungwa...
NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA SPURS
Naby Keita wa Liverpool ataukosa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Tottenham kutokana na majeruhi.Keita alipata majeruhi hayo kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Barcelona.Kiungo huyo huyo amesafiri na timu kwenye kambi ya Marbella na wachezaji wenzake kwenye maandalizi ya awali ya mchezo wa fainali.Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amethibitiha kwamba...
TPL: YANGA 0-0 AZAM FC
MCHEZO wa sasa unaoendelea uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Azam FC ni kipindi cha kwanza na hakuna ambaye ameliona lango la mpinzani wake.Mchezo huu una ushindani mkubwa kwa timu zote mbili ambazo zinatafuta heshima kwenye uwanja wa Taifa leo ikiwa ni mchezo wa mwisho kwa msimu huu.
KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA DHIDI YA YANGA
Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya YangaKikosi kitakachoanza16 Razak Abalora57 Lusajo Mwaikenda03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed06 Agrey Moris (c)22 Salmin Hoza27 Mudathir Yahya08 Salum Abubakar07 Obrey Chirwa11 Donald Ngoma26 Bruce KangwaAkibaMwadini Mwasapili Mwantika DomayoPeter Lyanga Singano.
Mechi nne kufa na kupona Leo!
Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.Kwa utaratibu uliopo, timu zinazoshika nafasi ya 19 na 20 zitashuka moja kwa moja daraja na kwenda ligi daraja la kwanza.Timu mbili zitakazoshika nafasi ya 17 na 18 zitacheza Play Off dhidi ya timu ambazo zimeshiriki ligi daraja la kwanza , ambapo...