KADI ZA NJANO 1,200 ZA WAAMUZI ZILIVYOTULIZA MZUKA LIGI KUU ENGLAND

0

NA SALEH ALLYNGUVU ya Ligi Kuu England maarufu kama EPL imepanda kwa kiasi kikubwa msimu uliopita kwa mara ya kwanza kukiwa na uthibitisho wa...

LIVE: TANZANIA 0-0 BURUNDI

0

MCHEZO wa pili kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' dhidi ya Burundi umeanza uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa marudio...

PIGO, SASA JUVENTUS KUSEPA NA NYOTA HAWA WATATU NDANI YA MANCHESTER UNITED

0

JUVENTUS imedaiwa kuhusishwa na mpango wa kusepa na wachezaji watatu ndani ya kikosi cha Manchester United ambao ni David de Gea, Eric Bailly na...

ISHU YA SALAH HAIJAPOA NDANI YA LIVERPOOL YAMUIBUA WENGER

0

KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amemtaka straika wa Liverpool, Mohamed Salah kuacha uchoyo wakati akiichezea timu yake. Kauli ya Wenger imekuja siku chache...

KIKOSI CHA STARS DHIDI YA BURUNDI HIKI HAPA

0

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza dhidi ya Burundi1. Juma Kaseja2. Hassan Ramadhan3. Erasto Nyoni4. Kelvin Yondani5. Mohamed Hussein6. Jonas Mkude7. Salum Abubakar8. Hassan Dilunga9....

KAZI NDO KWANZA IMEANZA, CHIRWA AWA MTAMU KABLA YA KUWAVAA WAZIMBABWE

0

OBREY Chirwaa ameanza kuwa mtamu ndani ya Azam FC baada ya jana kufanya maajabu yake kwa kufunga 'hattrick' kwenye mchezo wa kirafiki.Azam FC ambayo...

MASHABIKI MIA TANO KIMEELEWEKA LEO TAIFA, AZAM SIO WA MCHEZOMCHEZO

0

LEO timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stasr itashuka uwanjani kumenyana na timu ya Taifa ya Burundi kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu...

AJIBU AINGIA KATIKA ANGA ZA MBELGIJI SIMBA

0

KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems juzi kwa mara ya kwanza alianza kazi ya kukinoa kikosi chake na kuonekana akikazia zaidi mazoezi ya fiziki...

ZAHERA AKATIWA RUFAA, MAZITO YAWEKWA HADHARANI

0

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemkatia rufaa kocha wake Mwinyi Zahera kupinga kufungiwa kutokana na madai ya kutoa lugha chafu kwa Bodi ya Ligi.Bodi...

MBONA WATANYOOKA TU!! DE GEA WA YANGA KIMEELEWEKA CAF

0

Rasmi kipa namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo 'de Gea' atakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kitakachoivaa Zesco ya nchini Zambia baada ya juzi...