KOCHA SIMBA KUIBUKIA TIMU NYINGINE LIGI KUU
KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa zamani wa Simba na sasa Lipuli, Seleman Matola.Dili hilo limeanza baada ya KMC kushtukia kwamba Kocha wao wa sasa Etiene Ndayiragije huenda akatua Azam muda wowote.Habari zinasema kwamba Ndayiragije ambaye ni Mrundi amefikia pazuri na Azam lakini mambo yanakwenda kimyakimya.Viongozi...
KISA BEKI, MABOSI SIMBA WAISHINDWA YANGA
MABOSI wapya wa Yanga wamefanikisha mipango ya kumuongezea mkataba wa miaka mitatu beki wake, GadielMichael ambaye ilikuwa kiduchu tu asaini Simba.Dau alilowekewa mezani beki huyo lilikuwa ni Shilingi Milioni 40 na mshahara wa Milioni tatu. Habari za uhakika zinasema kuwa ni kwamba beki huyo wamefikia makubaliano na viongozi wa timu hiyo na wamemhakikishia mambo mazuri yanakuja akae mkao wa kula.Mmoja...
CHIRWA AIFANYIA MAAMUZI MENGINE YANGA
MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo tukio ambalo litafanyika Jumamosi.Awali Chirwa ambaye ni Mzambia ligoma kusaini mkataba mpya na klabu hiyo na inatajwa kuwa malengo yake yalikuwa ni kutaka kurejea Yanga lakini kocha Zahera akamkaushia.Chirwa aliwahi kuichezea Yanga kabla ya kutimkia Misri kisha kurejea na...
ISHU YA AJIBU KUFELI TP MAZEMBE YAVUJA
BAADA ya dili la Ibrahim Ajibu Migomba kutoka Yanga kwenda TP Mazembe ya DR Congo kufeli, mapya yamevuja. Kumbe mshikaji alitaka Mil 20 kwa mwezi.Mmoja wa makomandoo maarufu wa TP Mazembe, Patrick Mazembe, ameliambia Spoti Xtra kuwa; “Unajua wachezaji wakisikia wanatakiwa na TP Mazembe huwa wanahitaji vitu vingi kwa kuwa wanajua kuwa tuna fedha, hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa mchezaji...
KAGERA SUGAR: TUNABAKI TPL, TABU IPO PALEPALE
UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa hamna namna ya kuwazuia kubaki ndani ya Ligi Kuu msimu ujao kutokana na hasira walizonazo za kubaki ndani ya ligi ili waendeleze ubabe wao kwa Simba kwa kuwatungua nje ndani.Kagera Sugar ilishushwa kimakosa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki daraja la kwanza kwa muda wa masaa machache kabla ya TFF kuamua...
MWADUI KUIKOMALIA GEITA FC, YAGOMA KUSHUKA MAZIMA TPL
MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC,ambaye ni kinara wa utupiaji mabao kwa wazawa ndani ya ligi kuu msimu wa 2018/19 Salim Aiyee amesema kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao wa mwisho ili kubaki kwenye ligi.Mwadui FC inacheza playoff na Geita, Juni 8 uwanja wa Mwadui ikiwa ni mchezo utakaoamua nani abaki ligi kuu ama apande wakiwa na kumbukumbu ya kutoshana...
SERIKALI YAIPA BARAKA STARS, WAZIRI AIKABIDHI BENDERA
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza imekabidhi rasmi Bendera ya Taifa kwa Nahodha wa kikosi cha timu ya Tanzania ‘Taifa Stras, Mbwana Samatta, ambao wanaondokamapema kesho kwenda Misri kwa ajili ya michuano ya Afcon.Stars imeagwa na waziri huyo ikiwa inaenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea michuano ya Mataifa ya Afrika...
RUVU SHOOTING YAPANIA KUSUKA KIKOSI CHA MAANGAMIZI
OFISA Habari wa kikosi cha Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kwa sasa wanajipanga kusuka upya kikosi cha maangamizi msimu ujao ili wafikie malengo.Ruvu Shooting msimu wa mwaka 2018/19 walikuwa kwenye hatihati ya kushuka daraja kutokana na kuwa na mwenendo mbovu hali iliyowafanya washtuke mapema kabla ya msimu mpya kuanza."Tulipambana kiasi cha kutosha msimu huu ila haikuwa bahati yetu...
Samatta anatafutwa EPL
Mtandao maarufu wa The Sun wa nchini Uingereza umeripoti kuwa klabu nne zinahitaji huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta (26) anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubeligiji.Aston Villa(Timu iliopanda ligi kuu msimu huu), Leicester, Watford na Burnley ni miongoni mwa klabu ambazo zimetenga kitita cha fedha kupata saini ya Samatta.Samatta amekuwa na msimu wenye mafanikio baada ya kuifungia...
VIDEO: MRITHI WA MAKAMBO KUTUA YANGA – VIDEO
Mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa ya Namibia, Sadney Urikhob yuko katika hatua za mwisho kujiunga na Klabu ya Yanga.Wakati Urikhob akijiandaa kutia saini mkataba na klabu hiyo, beki Gadiel Michael ametia saini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia Yanga.Urikhob alitarajiwa kuwasili nchini Juni 4, 2019 usiku na kutia saini mkataba wa miaka miwili kabla ya kurejea katika kambi...