BOSS SIMBA AZIDI KUKIMBIZA KATIKA ORODHA YA WATU TAJIRI AFRIKA, APANDA JUU
Jarida linalotoa orodha ya watu ambao wanakusanya kiasi kikubwa cha pesa Afrika na duniani kwa ujumla 'FORBES' limekuja tena na orodha ya matajiri.Katika orodha ya watu tajiri Afrika, Mtanzania ambaye amewekeza hisa zake katika klabu ya Simba na Mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' amezidi kupanda juu kutoka namba 16 mpaka 14.Unaweza kuitazama listi kamili kwa kubofya hapa chiniORODHA YA WATU...
SIMBA IJAYO NI BAB-KUBWA ZAIDI, MBADALA WA OKWI AFUATWA NA WAKALA WA KAGERE
Klabu ya Simba iko hatua za mwisho za kumsainisha mkataba mshambuliaji wa klabu ya Police FC ya Uganda, Juma Balinya mwenye umri wa miaka 27.Balinya alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Uganda kwa sasa yupo kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Uganda.Taarifa zinasema kuwa tayari Simba wametuma mtu wao ambaye ameambatana na wakala wake Patrick Gakumba kwenda Abu...
TIBOROHA ATANGAZA WASIWASI YANGA
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, amesema ana wasiwasi na klabu hiyo kama itafabya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika.Tiboroha ametoa kauli hiyo baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuongeza idadi ya timu shiriki katika michuano hiyo kutoka mbili mpaka nne.Kutokana na ongezeko hilo, Tiboroha anaamini Yanga haiwezi kupata nafasi hiyo kwani ndiyo kwanza inajipanga kwa...
MKWASA ATOA ONYO YANGA JUU YA USAJILI WA WACHEZAJI KUPITIA YOUTUBE
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amefunguka kwa kutoa rai kwa viongozi wa klabu hiyo juu ya usajili wanaoufanya hivi sasa.Mkwasa ambaye hivi sasa bado anaugulia kutokana na tatizo la moyo lililomfanya aachie ngazi Yanga, ameamua kuweka wazi suala la usajili unaondelea klabuni hapo ambao unaenda kwa kasi.Mkwasa amesema ni vizuri zaidi Yanga wakaangalia wachezaji ambao...
WAKILI WA WAMBURA ACHACHAMAA BALAA
WAKILI wa Michael Wambura, Fatius Kamugisha ameiomba mahakama kuharakisha uchunguzi wa kesi ya mteja kwa kuwa amekuwa ndani kwa muda na kukosa haki zake za msingi.Katika kesi ya msingi, kigogo huyo anakabiliwa na mashtaka 17, likiwamo la kughushi, shtaka moja la kutoa na kuwasilisha nyaraka za uongo, mashtaka 13 ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na mawili ya...
YANGA YAMFICHA HOTELINI STRAIKA SIMBA
UNAMKUMBUKa yule straika ambaye Simba ilitangaza kumsajili kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018/19?Straika huyo si mwingine bali ni Vitalis Mayanga aliyekuwa Ndanda FC ambaye katika msimu wa 2018/19, aliwafanya vibaya Yanga katika mechi zote mbili walizokutana zilizomalizika kwa sare ya 1-1.Mayanga katika mchezo wa kwanza dhidi ya Yanga...
MBADALA WA ROMELU LUKAKU UNITED NI HUYU HAPA
MANCHESTER United wanampigia hesabu za kumsajili mshambuliaji wa kikosi cha Frankfurt, Sebastien Haller kwa ajili ya msimu ujao.United wanaitaka saini ya mchezaji huyo ili awe mbadala wa nyota wao Romelu Lukaku ambaye anahitaji kusepa ndani ya kikosi hicho.Kikosi cha Inter Milan kimeonyesha nia ya kupata saini ya mchezaji huyo ambaye ni mshambuliaji anayekipiga timu ya Taifa pia ya Ubelgiji.Mabosi...
WANNE WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUCHAPISHA MAUDHUI HASI YOUTUBE
Serikali imewafikisha mahakamani watu wanne kujibu shtaka la kuchapisha maudhui katika mtandao wa YouTube bila kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Washtakiwa hao ni Charles Kombe (24) mkazi wa Mikocheni, John Chuwa (28), mkazi wa Baracuda, Amos Warema (27) na Raymond Mkoroka (30). Walipanda kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Walisomewa mashtaka hayo mbele ya mahakimu mkazi...
MMOJA TEGEMEO YANGA ANASWA AZAM
INADAIWA beki kisiki wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ anawaniwa na mabingwa wa Kombe la Shirikisho (FA), Azam FC ambayo msimu ujao itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika.Dante amekuwa mmoja kati ya mabeki wa kati wa Yanga waliofanya vizuri msimu wa 2018/19 kwa kushirikiana na beki mkongwe Kelvin Yondani.Habari za ndani zinadai kuwa nyota huyo anawindwa na Azam pamoja na timu...
CRISTIANO RONALDO HANA MPANGO WA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA
CRISTIANO Ronaldo mchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno amesema kuwa bado ana imani ya kuitumikai timu yake ya Taifa kwa kubwa bado ana nguvu.Licha ya kuwa na umri wa miaka 34 bado amekuwa ni msaada ndani ya kikosi cha Ureno licha ya kushindwa kufanikiwa kutwaa kombe la Dunia mwaka jana.Ronaldo ambaye mwaka 2018 alishinda taji la Ligi ya...