UONGOZI SIMBA WATOA TAMKO JUU YA YANGA KUWA MOJA YA TIMU SHIRIKI CAF MSIMU UJAO
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi katika klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Tyry Again' amesema ni faraja kubwa kwa Tanzania kupata timu nne zitakazoshiriki mashindano ya kimataifa msimu ujao ikiwemo Yanga.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) jana, ilisema kuwa Simba na Yanga zitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika huku Azam na KMC zitacheza Kombe la...
HAJI MANARA AWACHANA YANGA, ASEMA SIMBA NDIYO IMEWAPELEKA CAF CHAMPIONS LEAGUE
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na kutoka kwa nafasi nne kwa timu za Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa Nafasi hizo zimetolewa na Shirikisho la Soka Afrika CAF
MAVUGO NA YANGA MAMBO SAAAAAFII
IMEFAHAMIKA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Napsa Stars FC ya nchini Zambia, Laudit Mavugo aliyewahi kuichezea Simba.Yanga chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Mkongomani, Mwinyi Zahera wamepanga kukisuka kikosi cha timu hiyo ili msimu ujao wa Ligi Kuu Bara wauchukue ubingwa wa ligi unaoshikiliwa na Simba.Timu hiyo tayari...
SALAMBA AAMUA KUFUNGUKA, ATOA MSIMAMO WAKE SIMBA
Mshambuliaji wa Simba, Adam Salamba atabakia klabuni hapo kwa msimu ujao endapo kocha wake Patrick Aussems atamhitaji. Ingawa kwa hali ilivyo ni asilimia ndogo.Salamba amekuwa akitajwa kuwa moja ya wachezaji ambao wanawezwa kuachwa.Salamba amesema kuwa kusalia ama kutosalia ndani ya Simba msimu ujao hilo litabakia kwa Kocha wake.“Hilo la kubakia ndani ya timu kwa msimu ujao ni masuala ya...
Wakimataifa ni wanne msimu wa 2019/2020
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha Tanzania kuwa. A timu nne (4) katika maahindano ya Kimataifa kwa msimu wa 2019/2020.Kwa taarifa hii inamaana timu mbili zitashiriki ligi ya mabingwa na mbili nyingine kombe la shirikisho.Nafasi hii imekuja baada ya Tanzani kushika nafasi ya 12 katika viwango vya ubora vya CAF.Kwa mujibu wa kanuni za Ligi...
BAADA YA ZALI KUWAANGUKIA YANGA NA KMC SIMBA WATOA TAMKO
BAADA ya Shirikisho la Soka Afrika kuthibitisha kwamba rasmi Tanzania itashirikisha timu nne michuano ya kimataifa kutokana na kukidhi vigezo hasa baada ya kushika nafasi ya 12 kwa ubora, uongozi wa Simba umetoa tamko kwa timu zitakazoshiriki.Kuongezeka kwa timu moja kila michuano inafanya Tanzania kufikisha jumla ya timu nne ambazo kwa upande wa Ligi ya Mabingwa ni Simba na...
NDONDO CUP KUMENOGA, BAKHRESA YAONGEZA NGUVU
MICHUANO ya Ndondo Cup msimu wa mwaka 2019 imezidi kunoga baada ya kampuni ya vinywaji ya Bakhresa tawi la Magomeni Icecream kuongeza nguvu ya udhamini kwenye michuano hiyo ambayo imejipatia umaarufu kwa sasa ikiwa na lengo la kuinua na kukuza vipaji itaanza Juni 17 mwaka huu.Akizungumza mbele ya waandishi wa Habari leo, Mwenyekiti wa Ndondo Cup, Shafii Dauda amesema kuwa...
BREAKING: SIMBA YAIPA NEEMA YANGA, RASMI KUSHIKI PIA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Taarifa mpya ya Shirikisho la Soka Tanzania Bara (TFF) kuhusiana na timu zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Africa (CAF Champions League).
MBELGIJI SIMBA AMTAKA KOCHA WA MAKIPA AKASOME, LA SIVYO…….
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Simba akiwa zake Ubelgiji ameacha maagizo kwa bodi ya klabu ya Simba kuhusu usajili na kuboresha baadhi ya vitu kwenye bechi la ufundi la klabu hiyo.Kwenye bechi la ufundi Aussems ameitaka bodi kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake msaidizi Dennis Kitambi ambaye mkataba wa miezi minne umeisha.Taarifa hiyo pia imeeleza kwenye...
LUKA JOVIC ALAMBA DILI LA MIAKA MITANO REAL MADRID
Luka Jovic amejiunga na klabu ya Real Madrid kwa ada ya dau ya Euro milioni 62 amepewa kandarasi ya miaka mitano.Mshambuliaji huyo ambaye alikuwa akitumikia klabu ya Eintracht Frankfurt ameweza kusajiliwa kwa ada ya dau kubwa kuliko wote ambao wamewahi kusajiliwa klabuni hapo.Anakuwa mchezaji wa tatu kunuliwa kwa ada kubwa baada ya Cristiano Ronaldo na Gareth Bale.Bosi wa timu...