YANGA KUTISHA AFRIKA NZIMA, HII NDIYO SABABU

0

ACHANA na Yanga mbovu ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, kwani ya msimu ujao itakuwa tishio kutokana na aina mpya ya usajili aliyokuja nayo Kocha Mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera.Yanga mpya ya msimu ujao inatarajiwa kuwa ya kikosi kipana tofauti na msimu uliopita kutokana na mapendekezo ya wachezaji ambao kocha huyo amependekeza kusajiliwa katika kukiimarisha kikosi chake.Timu hiyo hadi...

YANGA YASAJILI BEKI AFCON

0

HATIMAYE ahadi ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba imetimia baada ya kuzama mfukoni kwake na kufanikisha usajili wa beki kisiki wa Lipuli na timu ya taifa, Taifa Stars, Ally Mtoni ‘Ally Sonso’.Mwigulu amefanikisha usajili huo ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Wanayanga ambapo aliahidi kuwasaidia kusajili mchezaji mmoja wa ndani atakayependekezwa na benchi...

YANGA HII NI JEURI, MILIONI 930 KUSAJILI JEMBE

0

YANGA kwa sasa wana jeuri ya kumsajili mchezaji yeyote wamtakaye kutokana na kuwa na kitita cha Sh milioni 930 ambazo wamezipata katika harambee yao ya Kubwa Kuliko.Kwa wiki kadhaa nyuma, Yanga wamekuwa wakichangia fedha kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo ambapo Jumamosi iliyopita walifikia tamati zoezi hilo katika harambee kubwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar.Makamu Mwenyekiti...

TBL YAZINDUA KAMPENI YA FRIJI YA USHINDI

0

KAMPUNI ya Bia Nchini kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager  imezindu Kampeni ya Friji ya Ushindi kwa wadau wote wa soka ili kuhamasisha Watanzania kuishangilia Tanzania  ishinde iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Bar ya Juliana Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Primium Lager, Pamela Kikuli alisema hii ni Kampeni...

TAIFA STARS: KESHO LAZIMA KIELEWEKE MBELE YA KENYA

0

BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Gadiel Michael amesema kuwa kwa sasa wana nafasi ya kupata matokeo chanya mbele ya Kenya mchezo wa pili kwenye michuano ya Afcon nchini Misri.Tanzania na Kenya wote wameanza vibaya michuano ya Afcon baada ya kupoteza michezo yao ya ufunguzi ambapo Tanzania ilifungwa mabao 2-0 na Senegal huku Kenya ikipoteza mbele ya Algeria...

BREAKING: KOTEI ASEPA SIMBA MAZIMA, APIGWA PINI MIAKA MITATU

0

TIMU ya Kaizer Chiefs imemsajili James Agyekum Kotei kwa mkataba wa miaka mitatu.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, amejiunga na Kaizer akitokea Simba SC.Usajili wa Kotei ndani ya kikosi hicho, unamaanisha kwamba Willard Katsande atatakiwa kujipanga kisawasawa kutetea nafasi yake.Kotei ni mchezaji wa pili kusajiliwa na Kaizer baada ya wiki hii mshambuliaji raia wa Zambia, Lazarous Kambole kujiunga...

MAYANJA ATAJA SABABU ZA KUTUA KMC, ATAJA ATAKAOWASAJILI

0

KOCHA mpya wa KMC, Jackson Mayanja amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya akubali kusaini klabu ya Halmashauri ya Kinondoni, KMC  ni mfumo wa klabu hiyo kumvutia na ubora wa kikosi.Mayanja leo amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kukinoa kikosi hicho ambacho kilikuwa chini ya Etiene Ndayiragije ambaye kwa sasa yupo Azam FC."Nimekubali kusaini KMC kwa kuwa ni klabu yenye mfumo mzuri...

Yanga, Kaseke wanazungumza kuhusu dili jipya

0

YANGA SC bado wanahitaji huduma ya kiungo wa pembeni, Deus Kaseke ambaye mkataba wake unataraji kumalizika rasmi mwishoni mwa mwezi huu. Kaseke alijiunga Yanga kwa mara ya kwanza Juni, 2015 akitokea Mbeya City FC.Alishinda mataji ya ligi kuu msimu wa 2014/15, 2015/16 na 2016/17 kabla ya kutimkia Singida United ya Singida msimu wa 2017/18 ambako aliisaidia timu...

HAWA HAPA NYOTA WANNE WA YANGA KUJUA KAMA PANGA LITAWAHUSU WIKI HII

0

UONGOZI wa Yanga umesema wiki hii utaweka hadharani majina ya wachezaji watakaoachwa ili kuwapa muda wa kujipanga.Mpaka sasa bado kuna wachezaji ambao hawajua hatma yao ndani ya Yanga huenda wakajua mwisho wao kama watabaki ama kusepa mazima.Wachezaji hao ni pamoja naAnthony MatheoDeus KasekeHaji MwinyiMrisho Ngassa