WAFAHAMU ZABRON SINGERS, WAIMBAJI WA MKONO WA BWANA WANAOFANANISHWA NA KWETU PAZURI
IMEKUWA kawaida kwenye mitandao ya kijamii, hasa kurasa za Instagram ama kwenye makundi ya WhatsApp kusambaza kipande cha wimbo wa Mkono wa Bwana pindi mambo yanapokuwa tofauti.Kwa mfano kwa upande wa michezo siku ambayo timu iliyokuwa haijapewa nafasi ya kushinda ikipata matokeo mashabiki wa timu hiyo husambaza kwa kasi kipande cha wimbo huo kujipa moyo.Wengi wanautambua wimbo na kuwafananisha...
KIKOSI ALICHOKICHAGUA ALLY KIBA HIKI HAPA
LEO Jumapili uwanja wa Taifa kutakuwa na mchezo wa hisani kwa timu ya Ally Kiba na Mbwana Samatta inayokwenda kwa jina la Nifuate ambao ni wa hisani lengo ni kurejesha wanachokipata kwa wenye mahitaji.Hiki hapa ni kikosi cha Ali Kiba:-Ally KibaFeisal SalumSaid NdemlaIbrahim AjibuShiza KichuyaEmmanuel OkwiHaruna NiyonzimaAbdul KibaSaimon MsuvaJames MsuvaMohamed BinsulmTunda ManAbdi BandaAishi ManulaAggrey MorrisMeddie Kagere Stanley Mkomola
SAMATTA: SIKUTARAJIA KUPEWA TUZO MBILI, KAZI INAANZA LEO NIFUATE
Mbwana Samatta nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,'Taifa Stars' amesema kuwa hakutarajia kupewa tuzo za heshima na uongozi wa Global Group jambo ambalo limemshangaza alipotembelea ofisi za Global Group jana.Samatta ambaye anayekipiga KRC Genk, leo atakuwa uwanja wa Taifa kumenyana na timu Kiba, kwenye mchezo wa hisani wenye lengo la kurudhisha thamani kwa jamii inayowazunguka hasa yenye mahitaji.Akizungumza...
STRAIKA ZESCO UNITED AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI YANGA
Imeelezwa kuwa Mshambuliaji kimataifa kutoka Zambia na klabu ya Zesco United, Kalengo Maybin mwenye umri wa miaka 20, amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu ya Yanga.Taarifa zinasema tayari beki huyo na klabu wameshamalizana tayari kwa maandalizi ya msimu mpya ujao wa 2019/20.Usajili huo ni moja ya mapendekezo ya Kocha, Mwinyi Zahera ambaye ameamua kukiboresha kikosi chake kurejesha...
KIUNGO TEGEMO WA KIMATAIFA SIMBA ATANGAZA KUPOKEA OFA TATU ZA NJE – VIDEO
Kiungo aliyerejea kwenye fomu yake na kuwa tegemo ndani ya kikosi cha Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amezungumzia ofa alizozipata mpaka sasa nje ya timu yake.
KAGERE ANATAKIWA KWENDA ZAMALEK NA TP MAZEMBE, WAKALA WAKE AZUNGUMZA – VIDEO
Meneja wa straika wa Simba Meddie Kagere, Patrick Gakumba akizungumzia dili za mchezaji wake kwenda kucheza soka nje ya nchi.
KAGERE ATANGAZA KUONDOKA SIMBA – VIDEO
Straika wa Simba, Meddie Kagere akifunguka juu ya hatma yake na wekundu wa Msimbazi baada ya msimu huu kumalizika.
DUH ORIGI MCHAWI WA MABAO YA USIKU KAMA KAWAIDA, SASA AFIKISHA LA NNE NA KOMBE JUU
LIVERPOOL imefuta machungu ya kukosa kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita mwaka 2017/18 ilipochapwa mabao 3-1 na Real Madrid baada ya jana kufanya hivyo mbele ya Tottenham Spurs kwa ushindi wa mabao 2-0 uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid.Hii ni mara ya sita kwa Liverpool kutwaa ubingwa baada ya kuanza miaka ya 1977,1978,1981,1984 na 2005. Mabao yao yalifungwa na Mohamed Salah...
BEKI MWENYE MIAKA 32 TOKA IVORY COAST AHUSHISHWA KUMALIZANA NA SIMBA, WAKALA WAKE AFUNGUKA
Imeelezwa kuwa beki wa kati anayekipiga katika klabu ya Es Metlaoui ya Tunisia, Ange Bares ameingia katika rada za kusajiliwa na Simba.Beki huyo mwenye umri wa miaka 32 na raia wa Ivor Coast ameingia kwenye rada hizo ikiwa ni moja ya mapendekezo ambayo Kocha Patrick Aussems aliyataka ya kuhitaji beki mmoja katika nafasi hiyo.Taarifa zinasema beki huyo aliwahi kuvichezea...