SIMBA SC HAWATANII AISEE…BAADA YA MRENO KUCHOMOA…KOCHA MPYA HUYU HAPA…
Simba SC haatanii, Kwani baada ya kumpeleka jijini Mwanza, aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo waliye mbioni kumpandisha daraja kuwa Mkurugenzi wa Ufundi, Seleman Matola, mabosi wa klabu hiyo wapo hatua ya mwisho kumshusha kocha mkuu mpya atakayeisimamia timu kwenye Kombe la Mapinduzi 2023. Awali, Simba SC ilikuwa ikimpigia hesabu kocha wa Kireno aliyekuwa akiinoa klabu ya Petro de Luanda...
KIBU DENIS AFUNGUKA ISHU YAKE YA KWENDA ULAYA…ATAJA WALIOMSAIDIA…
Baada ya kufunga bao lake la kwanza kwenye Ligi Kuu msimu huu, nyota wa Simba Kibu Denis amekiri kupitia kipindi kigumu, lakini sasa kila kitu kimekuwa sawa na yupo tayari kwa mapambano, huku akifungukia ishu ya kupumzika Ufaransa. Kibu aliyekuwa kinara wa mabao Simba msimu uliopita akitikisa nyavu mara nane, msimu huu haujaanza vizuri kwake na kuonekana kushuka kiwango lakini...
KUELEKEA MECHI NA AZAM FC…SIMBA SC WAIRAHISISHIA KAZI YANGA SC…
Leo Sikukuu ya Krismas klabu ya Yanga itakuwa wageni wa Azam pale Uwanja wa Mkapa katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili ambapo timu hizo zilitoka sare ya 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza. Mechi hiyo ilitarajiwa kuwa na presha kubwa kwa Yanga kwa sababu ya tofauti ya pointi iliyokuwa kati yao na wapinzani wao wa...
YANGA SC:- FEI TOTO AMEVUNJA KANUNI…TULITAKA KUMPA MKATABA MPYA ….
KLABU ya Yanga SC inapenda kuujulisha umma na Wanachama wa Yanga SC kuhusiana na taarifa za mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah zinazoenea katika mitandao ya kijamii. Klabu inathibitisha kupokea barua kutoka kwa mchezaji tarehe 23 Disemba 2022 inayoeleza kuvunja Mkataba wake baina yake na Klabu. Yanga SC imemuandikia na kumjibu Feisal na miongoni mwa majibu ni kama ifuatavyo; Hakuna misingi ya kikanuni...
MIL 350 KUMSHUSHA PACHA WA PHIRI SIMBA SC….JAMAA LINAJUA HILOO…
SIMBA SC inatakiwa ivunje benki na kutenga kitita cha Sh 350Mil ili kufanikisha usajili wa straika wa Power Dynamo ya nchini Zambia, Kennedy Musonda ili kuwa pacha wa Mzambia mwenzake, Moses Phiri kikosini hapo. Zambia wanatokea wachezaji wawili tegemeo hivi sasa katika kikosi cha Simba SC ambao ni kiungo Clatous Chama na Moses Phiri anayecheza nafasi ya ushambuliaji kama ilivyo...
BALAA…MANZOKI AIWEKA SIMBA SC ROHO JUU…DILI LAKE LINAUKAKASI…
WAKATI matumaini makubwa ya kumalizana na mshambuliaji wa Dalian Profesional ya China, taarifa zinasema ameumia na inatakiwa afanyiwe upasuaji. Taarifa za uhakika kutoka jijini Beijing, China zinasema hadi jana, Manzoki alikuwa amekosa mechi sita za kikosi chake baada ya kuumia. “Aliumia katika mechi ya michuano ya Kombe la FA hapa, alikuwa anaingia na mpira baada ya kumtoka beki, mwingine akamkwatua ndani...
YANGA WAMGOMEA FEI TOTO…AZAM WAMFUATA MAMA YAKE…INONGA ANAFUATA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili ya 25/12/2022
ISHU YA NKANE YANGA SC…HATMA YAKE YAWEKA WAZI…
Daktari Mkuu wa timu ya Yanga, Youssef Mohamed amesema afya ya mshambuliaji Denis Nkane inaendelea vizuri na atashiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza Januari mosi, 2023 Visiwani Zanzibar. Youssef amesema mbali na kumpa matibabu pia mchezaji huyo ameanza mazoezi mepesi kwa ajili ya kuweka mwili sawa. “Nkane anaendelea vizuri baada ya kumfanyia vipimo na kubaini maumivu aliyoyapata hayakuwa makubwa...
HAWA HAPA MASTAA 5 WA SIMBA SC WALIOKALIA KUTI KAVU…TARAJIA LOLOTE…
Wakati mabosi wa Simba wakiwa kwenye harakati za kuboresha kikosi chao dirisha hili dogo la usajili kuna wachezaji watatu hadi sasa ni suala la muda tu kutua ndani ya timu hiyo. Inaelezwa mabosi hao wa Simba kwenye kipindi cha usajili wamepanga kushusha mashine mpya si chini ya tano kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao kwenye maeneo tofauti kulingana na mapungufu...
SIMBA SC, YANGA SC NA AZAM FC NI MTAFUTE MTAFUTE…MMOJA LAZIMA ALIE KESHO…
Kikosi cha Simba kipo Mwanza kikitokea Bukoba kilipokwenda kumalizana na Kagera Sugar, tayari kwa mechi yao ijayo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, huku wakani zao Yanga wakiwa bado Dar es Salaam kujiandaa kubanana na Azam FC iliyokuwa Mjini Geita. Timu hizo zinazochuana kwenye msimamo wa ligi zikiwa ndani ya Tatu Bora zitarudi uwanjani tena baada ya kumaliza kazi...