SHERIA MPYA ZAMKIMBIZA MWINYI ZAHERA DR CONGO….ADAI FAMILIA YAKE INAWASIWASI NA USALAMA WAKE…

0

Bosi wa Ufundi wa vikosi vya vijana wa Yanga, Mwinyi Zahera amewagomea mabosi wa Shirikisho la Soka nchini DR Congo, kisha nao kuamua kumuondoa rasmi katika timu ya taifa hilo.Zahera alikuwa kocha msaidizi wa DR Congo akiteuliwa kumsaidia aliyekuwa kocha wa timu hiyo Muargentina Hector Cuper ambaye naye alishatimuliwa kutokana na matokeo mabovu.Tayari DR Congo imeshapata kocha mpya ambaye...

KISA MAFANIKIO YA SIMBA CAF….MTANGAZAJI AZAM TV ALAZIMIKA KUIOMBA MSAMAHA YANGA…

0

Mtangazaji wa Azam TV, Timzo Karugira amewaomba radhi viongozi, wachezaji, mashabiki wa Yanga na wapenzi wa mpira nchini kutokana na matamshi yake ya jana kuwa Yanga wameingia katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika kwa mgongo wa Simba Sc, kauli ambayo imeibua mjadala mzito.Akitangaza jana kabla ya mchezo wa Yanga na Zalan FC ya Sudan Kusini kuanza, Timzo alisema Yanga...

KISA KUKOSEKANA KWA DIARA YANGA…MSHERY AWEKA REKODI HII YA KIBABBE CAF…MAMBO YAANZA KUWA MAZURI KWAKE…

0

Ndio. Golikipa wa Yanga Abutwalib Mshery,  ameweka rekodi ya kucheza mechi ya kwanza ya kimataifa kwa ngazi ya klabu akianza kwenye mechi dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini, katika Ligi ya Mabingwa.Mshery ndio amesimama kwenye milingoti mitatu akichukua nafasi ya Djigui Diarra ambaye hakuwepo kabisa kwenye kikosi cha jana.Katika historia yake ya soka hii ndio itakuwa mara yake...

WAZAMBIA WAIFANYIA KITU MBAYA TANZANIA ….TWIGA STARS WABANWA MBAVU AFRIKA KUSINI…JESHIMA YAO YAPOTEA …

0

Timu ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' imevuliwa ubingwa wa COSAFA Wanawake baada ya kuchapwa 2-1 na Zambia jana Uwanja wa Isaac Wolfson mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.Mabao ya Zambia yamefungwa na Barbara Banda dakika ya 11 na Chisha Misozi dakika ya 46, wakati la Twiga Stars alijifunga Margaret Balemu dakika ya 30.Kwa sasa Twiga Stars itawania nafasi ya...

ONYANGO ARUDISHWA SIMBA…KISINDA AKWAMA YANGA…MAYELE FEI TOTO WAFANYA BALAA KWA MKAPA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili.

PHIRI ANA BALAA ZITO SIMBA…APIGA MGOLI WA KIDEO..CAF WAAMBIWA WAMPE TUZO YAKE…WASUDAN HOI KWA YANGA…

0

 Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Jumapili.

NAMBA ZAKO ZA BAHATI ZINAWEZA KUBADILISHA KILA KITU LEO KWENYE KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET….

0

Keno ni moja ya mchezo ambao umejizolea umaarufu zaidi kwa urahisi wake na kuwatoa kimaso maso washindi. Nyumba ya mabingwa, Meridianbet, inakupa fursa ya ushindi na Keno. Bahati Nasibu ya Keno Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Keno ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye orodha ya namba 1...

SAKATA LA MWAKINYO KUPIGWA UINGEREZA…MANDONGA NAYE KAONA ISIWE TABU…AIBUKA NA KUMSHUKIA KWA MANENO HAYA..

0

Bondia Maarufu kwa sasa nchini Tanzania Karim Mandonga amevunja ukimya na kuzungumzia pambano la bondia mwenzake Hassan Mwakinyo ambalo lilipiganwa Septemba 3, 2023 Jijini Liverpool.Katika pambano hilo Mwakinyo alipotezo kwa TKO dhidi ya Liam Smith katika raundi ya nne ya mchezo kwa kushindwa kuendelea kutokana na kile alichokitaja yeye “viatu vilikuwa vinambana na kupelekea yeye kupata maumivu ya mguu”.Kwa...

WASUDAN WAPARAMIA ‘MTUMBWI WA VIBWENGO’ KWA MKAPA…MAYELE ‘AWAPAPATUA TATU NA TUMBO’ JUU…

0

Kikosi cha Zalan FC wamekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa wawakilishi wa Tanzania Yanga, mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar.Mchezo huo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika umewashuhudia Yanga wakitawala sehemu kubwa ya mchezo.Alikuwa ni Fiston Mayele aliewapa uongozi Yanga sekunde chache tangu kuanza kwa kipindi cha pili kabla ya Feisal Salum kupachika...

SIMBA WAIFANYIA UMAFIA NYASA BIG BULLETS …CHAMA AWAVURUGA WAMALAWI…WAPAGAWA NCHI NZIMA…

0

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wameanza vyema kampeni ya kusaka kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi ugenini nchini Malawi.Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi, magoli yaliyowekwa wavuni na Mshambuliaji Moses Phiri kipindi cha kwanza na...