KWA KUNDI HILI LA YANGA KWELI MBOGA MOTO UGALI MOTO
Mechi mbili zijazo kwenye kundi (D) zitatoa mwanga utakaoonesha timu zipi zina nafasi kubwa ya kutinga robo fainali CAF champions league 23/24.…
Browse all posts in this category.
Mechi mbili zijazo kwenye kundi (D) zitatoa mwanga utakaoonesha timu zipi zina nafasi kubwa ya kutinga robo fainali CAF champions league 23/24.…
Gazeti la Mwananchi jana Jumapili limeripoti katika ukurasa wake wa michezo wa nyuma kwamba “Simba, Yanga mambo magumu Afrika”, likizungumzia matokeo ya…
Afisa Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, #AhmedAlly amedai kuwa ‘klabu’ ya Wydad ni mnyama mkali aliyesinzia hivyo wanatakiwa kujiandaa kukabiliana…
Yanga SC hasa kipindi cha kwanza nafikiri kama waliwashangaza Al Ahly na muundo wao wakiwa na mali wanatemgeneza “BOX MIDFILED” kwenye muundo…
Yanga inajiandaa kupaa zake kwenda Ghana kuwahi pambano la tatu la Kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama, huku…
KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha amekiri kuna mambo mengi anatakiwa kuyafanyia kazi ili kikosi chake kiwe imara, baada ya kuiongoza kwenye mchezo…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema hajaridhishwa na matokeo ya mechi yao dhidi ya Al Ahly, hivyo sasa ameamua kuufungia kazi…
Inawezekana wengi wenu hii imewapita. Sio kwa sababu hamjui, ila ni kutokana na kuwa bize na ujio wa Kocha Mpya wa Simba,…
Baada ya kimya cha muda mrefu bila kuonekana uwanjani akiwa na kikosi cha Singida Fountain Gate, beki Joash Onyango ameweka wazi kilichofanya…
Mashabiki wa Klab ya Wydad Club ya Morocco wameanza kampeni za kumuondoa madarakani Mwenyekiti wao wa sasa Said Naciri, hii ni baada…
Uongozi wa Klabu ya Wydad Ac ya Morocco muda wowote unaweza kumfuta kazi kocha wao Mkuu Adel Ramzi. Taarifa inathibitisha kuwa muda…
Mwamuzi wa kati Selugwani Shija ameleta gumzo kwenye Ligi ya Championship jana katika mchezo kati ya Biashara United ya Maea dhidi ya…