GAMONDI AWEKA WAZI SIRI HII YA YANGA
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi amesema siri ya wao kutinga hatua ya makundi ya…
Browse all posts in this category.
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi amesema siri ya wao kutinga hatua ya makundi ya…
Baada ya siku 309 tangu Yanga ifungwe na Ihefu mabao 2-1 Novemba 29 uwanja wa Highland Estate ulipo Mbarali mkoani Mbeya na…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba wanatinga hatua ya makundi wakiwa hawana furaha mashabiki, huku Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akiweka…
Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern…
Baada ya Simba kufanikiwa kufanikiwa kufuzu kwa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupata sare ya bao 1-1…
Tanzania imeweka historia kwa mara ya kwanza timu zake mbili kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hii ni baada…
Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema sababu kubwa ya timu hiyo kushindwa kutamba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi…
Wekundu wa Msimbazi Simba SC kwa mara nyingine katika Uwanja wa Chamazi Complex Jijini Dar es Salaam wanaonesha ukubwa wao wakikata tiketi…
Hadi sasa wanachokifanya Yanga Sc tangu kuanza kwa msimu huu wa mashindano mbalimbali unaweza ukaona kama ni bahati kwa jicho la kishabiki…
Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amewapa majukumu mazito viungo…
Miamba ya Morocco, FAR Rabat inayonolewa na aliyekuwa Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia…
Yanga imeondoa gundu la kushindwa kutinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa miaka 25 iliyopita baada ya kutinga kibabe kwa kuing’oa…