HIZI HAPA HESABU ZA SIMBA DHIDI YA POWER DYNAMOS
HUKU wakijiandaa kuvaana na Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba…
Browse all posts in this category.
HUKU wakijiandaa kuvaana na Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba…
Benchi la ufundi la Simba SC umetoa maagizo mapya kwa wachezaji wa klabu hiyo wakiongozwa na washambuliaji wao hatari, Luis Miquissone na…
Ni wakati mwingine wa kufurahia bonasi kibao kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, haswa kwa wateja waaminifu ambao wamekuwa na Meridianbet kila siku…
BAADA ya kushinda mechi mbili za kirafiki dhidi ya Kipanga (3-0), na Cosmopolitan (5-1), Simba imeendelea na maandalizi ya mchezo wa kwanza…
Je, Unapenda Uvuvi? Meridianbet Kasino ya Mtandaoni imekuandalia safari ya kushangaza kwa ajili yako mwezi huu wa Septemba! Endelea kucheza moja ya…
KIKOSI cha Simba kinaingia kambini juzi (Jumamosi)na kutarajia kuondoka nchini Septemba 14, mwaka huu kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa…
Wakati Yanga ikionekana kuwa na utajiri wa mabeki wa kati, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameongeza beki mwingine kwenye eneo…
Wakongwe Yanga na Simba zimegawa dozi nzito kwenye mechi zao za kirafiki baada ya kushinda mabao 6-0 kila mmoja wakiendelea kujipima. Tuanze…
Uongozi wa Young Africans umeweka wazi kuwa kwa sasa unataka kufanya kufuru ya kwenda anga za vigogo kama Pyramid na Al Ahly…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera Robertinho ametoa onyo zito kwa wachezaji wake wakati wakijiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa…
Baada ya kuanza vibaya kwenye michezo yao miwili ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa kikosi cha Namungo FC,…
Katika maisha ya kutafuta kuna muda ili upate ulaji ni lazima aliyekuwa kwenye nafasi fulani atoke kisha ndio wewe upate na hiyo…