KUELEKEA MECHI YA LEO…TAKWIMU ZINAONGEA….YANGA WAIZIDI AZAM KIDOOGO…
Azam dhidi ya Yanga daima imekuwa mechi ya kukata na shoka sana iliyojaa ushindani na takwimu zinathibitisha kwamba wapinzani hao hakuna aliye…
Browse all posts in this category.
Azam dhidi ya Yanga daima imekuwa mechi ya kukata na shoka sana iliyojaa ushindani na takwimu zinathibitisha kwamba wapinzani hao hakuna aliye…
Kiungo wa Simba Clatous Chota Chama amefanikiwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Machi Ligi Kuu Tanzania Bara, NBC Primia Ligi. Wakati Chama…
Msemaji wa Yanga SC, Haji Manara ametia neno kwa Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania kukutana na Orlando Pirates ya Afrika Kusini…
Leo Aprili 6 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa kwenye viwanja viwili tofauti kwa timu kusaka pointi…
Kocha wa Simba, Pablo Franco inabidi aanze kukuna kichwa mapema juu ya kuziba pengo la beki wake wa kati Joash Onyango ambaye…
Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Soka ya Simba Barbara Gonzalez ni kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu…
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam Abdi Hamid Moallin amesifia ubora wa kikosi cha Yanga na kujipanga kuandaa mbinu ili kuwakabili vijana…
Kiungo Mshambuliaji wa Azam FC Ibrahim Ajibu amewataka Young Africans kujiandaa kwa kipigo kesho Jumatano (April 06), watakapokutana kwenye mchezo wa Mzunguuko…
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Klabu ya Young Africans Hassan Bumbuli anaamini iwe isiwe, msimu huu Azam FC watawachangia…
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba SC, Watapambana na Orlando Pirates ya Afrika ya Kusini mchezo wa Robo Fainali Kombe…
Kikosi cha Simba SC kimeondoka Jijini Dar es salaam leo Jumanne (April 05) majira ya mchana kuelekea Jijini Tanga, tayari kwa mchezo…
Uongozi wa Young Africans umeonyesha kuchukizwa na kauli ya klabu hiyo kubebwa na Simba SC kwenye michuano ya Kimataifa inayoandaliwa na Shirikisho…