SIMBA KUIBUKIA ARUSHA
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuibukia Arusha leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 unaotarajiwa kuanza Septemba 25. Septemba 25, Simba…
Browse all posts in this category.
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuibukia Arusha leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 unaotarajiwa kuanza Septemba 25. Septemba 25, Simba…
Katika hali isiyo ya kawaida, mashabiki wa Simba SC wamezigombania jezi mpya za msimu huu ambapo ndani ya saa 48 zaidi ya…
UNAAMBIWA! Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amewataka nyota wake wote waliopo kwenye mapumziko mafupi kutojisahau kufanya mazoezi binafsi wakiwemo Ousmane Sakho na Bernard Morrison, huku akisema atakayerejea mazoezini hana utimamu wa mwili atakiona…
Mtangazaji nguli nchini na kipenzi cha wengi, Salama Jabir jana alitangaza kuachana na kituo cha EATV ambacho amefanya kazi hapo kwa muda…
UNAAMBIWA! Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amewataka nyota wake wote waliopo kwenye mapumziko mafupi kutojisahau kufanya mazoezi binafsi wakiwemo…
SIMBA wamepania kufanya funika katika tamasha lao la Simba Day Septemba 19 kwa kucheza na timu iliyotwaa ubingwa wa Afrika zaidi ya…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa tukio la sherehe za uzinduzi wa jezi ambao ulitarajiwa kufanyika leo Septemba 4 umeyeyuka. Awali Simba…
“TULIHEMEWA na maombi ya mashabiki ambao walikuwa wanataka jezi mpya,” Ezekiel Kamwaga, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa ni sababu ya wao…
MASHABIKI wa Simba mkoa wa Mbeya wamesema licha ya kuondokewa na nyota wao wawili, Luis Miquissone na Clatous Chama, bado timu hiyo…
WACHEZAJI wapya wa Simba, Jeremiah Kisubi na Kibu Denis rasmi wameanza mazoezi ya pamoja na wachezaji wenzao leo asubuhi katika uwanja wa…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwa upande wa Wanawake, Simba Queens leo wameibuka na ushindi wa mabao 10-0 dhidi ya FAD FC. Katika mchezo…
NI winga Peter Banda na Pape Ousmane Sakho unaoweza kukisia tayari wameingia moja kwa moja kikosi cha kwanza baada ya kuuzwa…