Simba SC
Browse all posts in this category.
RASMI, MKUDE AJITOKEZA HADHARANI NA KUOMBA MSAMAHA
KIUNGO mkabaji wa klabu ya Simba, Jonas Mkude amejitokeza rasmi na kuomba radhi kutokana na tuhuma za utovu wa nidhamu zilizokuwa zikimkabili.…
DALALI WA SIMBA AITWA TFF
KUFUATIA kuikatia rufaa kamati ya uchaguzi ya Klabu ya Simba chini ya Mwenyekiti wake, Boniface Lihamwike kwa muda wa siku 20…
LWANGA AONDOLEWA SIMBA
JINA la kiungo mkabaji wa klabu ya Simba, Taddeo Lwanga limeondolewa katika orodha ya wachezaji waliosajiliwa na Simba ndani ya kipindi cha…
KAHATA ANUSURIKA PANGA SIMBA, LAMPITIA MORRISON
UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji raia wa Kenya, Francis Kahata kuendelea kubaki Simba, huku Mghana, Bernard Morrison akitajwa kutemwa ili kumpisha…
JESHI LA SIMBA KUREJEA KAMBINI JUMATATU
KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, klabu ya Simba kinatarajiwa kurejea rasmi kambini Januari 25, ambayo ni siku ya Jumatatu…
MORRISON AWAPA AKILI YANGA
UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa mkataba wa mshambuliaji wao mpya, Fiston Abdoul Razak una kipengele…
WINGA MKONGO AFUNGUKIA DILI LAKE SIMBA
BAADA ya kiungo Mkongo Karim Kinvuid Kiekie kuhusishwa kumalizana na klabu ya Simba, hatimaye kiungo huyo amefunguka kuwa hajafanya mazungumzo na uongozi…
CHIKWENDE ATAJA KITAKACHOMBEBA SIMBA
KIUNGO mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba, Tatenda Perfect Chikwende amesema anaamini uwepo wa mashindano mengi ambayo Simba inashiriki ni miongoni mwa…
KOCHA YANGA:SIMBA HAIKUPASWA KUMSAJILI CHIKWENDE
MOHAMED Hussein, mmachinga, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga Princess amesema kuwa anaamini kwamba wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika,…
SAKATA LA JONAS MKUDE SIMBA HUKUMU IPO PALEPALE
IMEELEZWA kuwa nyota wa Klabu ya Simba Jonas Mkude hukumu yake ipo palepale na kwa sasa anasubiri kupewa adhabu yake kutokana na…
CHIKWENDE: CHAMA, LUIS WAMENIVUTA SIMBA
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Klabu ya Simba, Perfect Tatenda Chikwende amefunguka kuwa sababu kubwa iliyomfanya atue ndani ya kikosi cha Klabu ya…