VIDEO: SIMBA KUPELEKA KOMBE KIGOMA, YANGA YATANGAZA VITA FA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kitapeleka taji la Ligi Kuu Bara Kigoma,Yanga yatangaza vita FA.
Browse all posts in this category.
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kitapeleka taji la Ligi Kuu Bara Kigoma,Yanga yatangaza vita FA.
SHABIKI wa Simba ameweka wazi kuwa ikiwa watapoteza kwenye mchezo wao wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga Uwanja wa…
KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa anapokosa nafasi wakati akiwa benchi yeye yule ambaye anaanza ni sawa na yeye…
JUSTIN Mwakitalimo, shabiki wa Simba amesema kuwa mchezo wao ambao walicheza mbele ya Coastal Union na uboa wa Uwanja wa Mkapa kusoma…
KIPA namba moja wa Coastal Union, Abubakar Abas amesema kuwa walizidiwa mbinu na wapinzani wao Simba jambo ambalo liliwafanya wakapoteza jana Julai…
SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kwamba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa Simba mbele ya Coastal Union haiwaumizi zaidi wanastahili pongezi…
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ili Simba asiwe bingwa inapaswa ifungwe mechi zote tatu na wapinzani wao waweze kufunga…
GSM wadhamini wa Yanga wameshusha mashine mpya kwa Yanga ambayo ni gari aina ya Scania inakwenda kufanyiwa maboresho ili kuwa bora zaidi…
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho Julai 11 kati ya Simba v Coastal Union, kocha wa Coastal Union amesema kuwa wapo kwenye nafasi…
IMEELEZWA kuwa Simba wapo kwenye mazungumzo na Azam Media ili kuweza kusaini dili katika kurusha maudhui huku ikielezwa kuwa dau lililowekwa mezani…
IMEFAHAMIKA kuwa nyota wawili wa kikosi cha Yanga ambao ni Michael Sarpong huyu ni mshambuliaji pamoja na beki Lamine Moro wote raia…
MKWANJA ambao wameupata Yanga wa miaka 10 walioingia Yanga na Azam Media Yanga inakwenda kuwa na jeuri ya matumizi ya mkwanja ambao…