VIDEO: WATU 500 KUMPA TUZO YA BET
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul, ‘Diamond’ anawania tuzo ya BET ambazo ni kubwa kwa Afrika na zinajulikana duniani, mhariri…
Browse all posts in this category.
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul, ‘Diamond’ anawania tuzo ya BET ambazo ni kubwa kwa Afrika na zinajulikana duniani, mhariri…
HATMA ya nyota wa Simba, Jonas Mkude kujulikana leo, Kocha Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amewasilisha ripoti ya usajili
FREDRICK Mwakalebela ambaye kwa sasa amesimamishwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa muda wa miaka mitano kujihusisha na masuala ya michezo…
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa kwa sasa kikosi cha Simbe ni mwendo wa tatutatu…
OSCAR Oscar mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa Yanga wanahaki ya kuifuatilia kesi yao ya Bernard Morrison kwa kuwa wao wanaamini…
MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kuwa sababu kubwa ya kufanya vizuri ni uwekezaji ambao upo pia wamesema kuwa unaweza kuifunga Simba ila…
SUALA la kadi mbili nyekundu kwenye mchezo mmoja lazungumziwa, nahodha John Bocco pia azungumza baada ya ushindi wao mbele ya Ruvu Shooting. …
MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kwamba ushindi walioupata mbele ya Ruvu Shooting kwa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting ni furaha kwao,…
WAKATI wakiingia Uwanja wa CCM Kirumba, Juni 3, Mwanza viongozi wa Simba ikiwa ni Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez pamoja na TRY Again…
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ameumizwa na matokeo ya kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Simba na anahitaji muda…
MTENDAJI Mkuu wa Simba, (CEO), Barbara Gonzalez amemwambia Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire kwamba yote ni matokeo na amempa pole…
KWA mara ya kwanza, leo Juni 03, Rais wa TFF, Wallace Karia, ametembelea ofisi za Global Group na kufanya mahojiano na…