VIDEO: IBRAHIM AJIBU ASAINI YANGA MIAKA MIWILI, ACHOTA MAMILIONI
IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amemalizana na mabosi wake wa zamani Yanga kwa dili la miaka miwili
Browse all posts in this category.
IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amemalizana na mabosi wake wa zamani Yanga kwa dili la miaka miwili
KUHUSU kesi ya Cas Jembe anaamini kwamba haina faida pia ameweka wazi kwamba bao alilofunga mbele ya Namungo FC ni moja kati…
NYOTA wa zamani wa Yanga, ibrahim Ajibu ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya Simba inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kurejea Yanga…
YANGA wameipiga bao Simba kesi ya Morrison, sababu ya Carlinhos kuondoka Yanga
BABU Tale amesema kuwa neno Rais liwe moja maana kuna Marais wengi kwa sasa sijui Shirikisho, Wasafi.
KIKOSI cha Simba chapongezwa bungeni kwa kutinga hatua ya robo fainali, pia wameshauri kwamba kanuni ya Caf waangalie namna ya kupanga timu…
TARIMBA amesema kuwa kuna watu walichungulia kwenye darubini zao na kuona kwamba wanakwenda kupigwa mabao mengi jambo waliloamua kufanya mpango wa kubadili…
BAADA ya nyota wa Yanga, Carlos Carlinhos kuamua kuvunja mkataba na timu yake ya Yanga kuna shabiki aliweka wazi kwamba nyota huyo…
BAADA ya kufunga bao lake bora la msimu mbele ya Namungo, kiungo Bernard Morrison amempigia simu bosi wake wa zamani ishu ni…
SHABIKI maarufu wa Simba, Aggy Simba amesema kuwa walikuwa kwenye presha kubwa jana wakati wapinzani wao Namungo wakiongoza kwa ushindi wa bao…
KOCHA Mkuu wa Namungo, Hemed Morocco amesema kuwa wachezaji wake walifanya makosa kipindi cha pili jambo ambalo liliwafanya washindwe kulinda ushindi wao…
KIPA namba moja wa Namungo, Nahimana amesema kuwa walishindwa kufuata mbinu ambazo walipewa kipindi cha pili jambo ambalo liliwafanya wapoteze na ubao…