Trending Stories
View All
KOCHA SIMBA AMCHAGUA MCHEZAJI WAKE BORA KATI YA MO HUSSEIN NA GADIEL MICHAEL
Kocha wa zamani na mchezaji aliyekipiga Simba Sports Club, Abdallah King Kibadeni, amemchagua Mohammed Hussein kuwa beki wake namba mbili…
BAADA YA SAMATA KUTUA ASTON VILLA, MTANZANIA MWINGINE ARITHI NAFASI YAKE GENK
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, anajiunga rasmi na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo nahodha wa timu…
SERIKALI YAAMUA KUTOA TAMKO JUU YA SAMATTA KUTUA ASTON VILLA – VIDEO
Baada ya kusani mkataba wa miaka minne na nusu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana Januari…
KAKOLANYA ALAMBA SHAVU SIMBA
KOCHA wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameonekana kuvutiwa zaidi na kiwango cha kipa Beno Kakolanya, hiyo ni baada ya kumpa…
HAWA NDIO MAKIPA KIBOKO YA MEDDIE KAGERE, WALICHOMFANYA SIO POA
MEDDIE Kagere, mshambuliajI wa Simba, anateswa na mikono ya mlinda mlango wa KMC, Jonathan Nahimana na Razack Abarola kutokana na…
NENO LA SAMATTA KWA WATANZANIA HILI HAPA, MBAYA KWELI KWENYE NYAVU
MBWANA Samatta, nyota mpya wa Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England amesema kuwa kwa hatua aliyofikia ni suala la kushukuru…
SVEN APINDUA UFALME WA MANULA, SASA KAKOLANYA ANAPETA KINOMA
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameonekana kumpa shavu kipa namba mbili Beno Kakolanya huyo kuanza katika michezo sita kati…
MATOKEO MABAYA YAISIKITISHA YANGA, UJUMBE HUU WATUMWA SINGIDA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umesikitishwa na matokeo ya mechi zake mbili zilizopita na kuomba sapoti kwa mashabiki wao.Yanga iliyo…
SINGIDA UNITED BANA, YAITANGAZIA HATARI YANGA
UONGOZI wa Singida United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nswanzurimo umesema kuwa hauna mashaka na mchezo wao wa kesho,…
JESHI LA AZAM FC LAKWEA PIPA KUIFUATA MWADUI FC
TIMU ya Azam FC iliyo chini ya Arstica Cioaba, leo imekwea pipa kuelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya mchezo wao…
EXCLUSIVE!! SAMATTA ATAMBULISHWA ASTON VILLA, AMWAGA WINO WA MIAKA MINNE
Rasmi klabu ya Aston Villa imekamilisha usajili wa straika Mtanzania aliyekuwa ainchezea KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta kwa mkataba…
STRAIKA MGHANA YANGA AIBUKA NA MPYA
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison, amewaondoa hofu Wanayanga kwa kuwaambia kuwa kama lilikuwepo tatizo la ushambuliaji…
KINACHOCHELEWESHA MBWANA SAMATTA KUTAMBULISHWA ASTON VILLA
USAJILI wa Mbwana Samatta kwenda Aston Villa katika timu ambayo inashika nafasi ya 18 kabla ya mechi yao ya juzi…
DIAMOND NA ALIKIBA WAUNGANA, WAFANYA MAKUBWA – VIDEO
Mahasimu wa muda mrefu katika mziki wa Bongo Nasib Abdul na Ali Kiba kwa pamoja wameungana kufanya matukio makubwa
TAFRANI YAPAMBA VITA YA DIAMOND NA HARMONIZE, MATUSI YATAWALA – VIDEO
Omary Mwanga maarufu kama MARIO amewaingiza vitani Diamond na Harmonize na kufanya mtifuano mkali katika mitandao ya kijamii. Pande zote…