Trending Stories
View All
ZAHERA AWAKATAA ZESCO UNITED
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amekataa kuwazungumzia Zesco United hivi sasa na badala yake akili yake inafikira mechi ya…
HAJI MANARA AIBUKA NA JIPYA SIMBA, AMTAJA BALINYA YANGA, UNAWEZA UKACHEKA – VIDEO
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, amewataka mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, kuitangaza vyema kampuni ya ubashiri ya…
JULIO: WABRAZIL SIMBA WAMEKUJA KUTALII
Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema kuwa kikosi cha timu hiyo juzi kiliingia kucheza na UD Songo…
ZAHERA ATOBOA SIRI YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera ametaja siri tatu za kuwaondoa wapinzani wao, Township Rollers ya nchini Botswana kwa…
KOCHA SIMBA AJA KIVINGINE KABISA, ATAJA MALENGO TOFAUTI
Na George MgangaBaada ya kuondolewa jana katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amekuja…
REKODI YA DAVID SILVA NDANI YA MANCHESTER CITY TAMU SANA
DAVID Silva, nyota wa Manchester City amecheza jumla ya mechi 400 tangu ajiunge na kikosi hicho msimu wa mwaka 2010. Anakuwa…
MWIGULU: NILIJUA YANGA WATAIFUNGA ROLLERS
Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amefunguka kuwa wala hakuwa na presha wakati Yanga ilipokuwa ikikipiga dhidi ya Township Rollers…
BALINYA AMWAGIWA NOTI ZA MAANA YANGA, MIFEDHA MINGINE KUTOLEWA
Straika wa Yanga, Juma Balinya, juzi alimwagiwa noti za maana na mashabiki wa timu hiyo wanaoishi Bostwana.Fedha hizo zilitokana na…
MWINYI ZAHERA AVURUGWA YANGA
Baada ya kufanya vema katika mechi iliyopita ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers, inaelezwa Kocha wa Yanga,…
UCHAWI WENU ULIWAKIMBIZA VODACOM, MKAWALILIA, WAMERUDI SASA TAFUTENI TIBA
Na Saleh Ally MSIMU mmoja bila ya kuwa na wadhamini wakuu imeonekana kuwakwaza kwa kiasi kikubwa wachezaji, viongozi wa soka…
KUMBUKENI KILA MLICHOFANYA HAKITAZUIA NYIE KUPOTEZA MICHEZO
NA SALEH ALLY UKITAKA ujifunze mambo mengi, wakati mwingine ni vizuri sana kujiuliza maswali ya kutosha na kutafuta majibu sahihi…
HIZI HAPA ZIMETINGA 16 BORA SPRITE B BALL KINGS
MASHINDANO ya Sprite B Ball Kings inazidi kupamba moto ambapo kwa sasa tayari timu 16 bora zimepatikana baada ya mchujo…
UZITO WA UNYOYA NASSIBU AWA MBABE HUKU LILE LA UZITO WA BANTAM, TONNY AIBUKA KIDEDEA
Mapambano ya Ubingwa wa Afrika Mashariki na kati, yamefanyika kwa kishindo usiku wa kuamkia leo Agosti 24, 2019 Club 361…
UD SONGO WALIISHINDA SIMBA KWA KUTUMIA SILAHA ZA SIMBA, WAKATI WA KUNYANYUKA NA KUSONGA MBELE NI SASA
SIMBA Jana imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye uwanja wao wa nyumbani ambao msimu uliopita walifanya…
NGUVU YA KIKOSI CHA KMC ZINAHAMIA HUKU KWA SASA, LEO KUANZA MITIZI YA MAANA
UONGOZI wa KMC leo unaanza rasmi mazoezi ya kuiwinda Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Agosti 27…