Trending Stories
View All
BEKI MWENYE MIAKA 32 TOKA IVORY COAST AHUSHISHWA KUMALIZANA NA SIMBA, WAKALA WAKE AFUNGUKA
Imeelezwa kuwa beki wa kati anayekipiga katika klabu ya Es Metlaoui ya Tunisia, Ange Bares ameingia katika rada za kusajiliwa…
TIMU SAMATTA, KIBA HAPATOSHI LEO TAIFA
LEO Jumapili hutakiwi kukosa pale Uwanja wa Taifa kwani mastaa Mbwana Samatta na Ally Saleh Kiba na timu zao watakuwa…
NIYONZIMA AVUNJA UKIMYA SIMBA
Kiungo machachari wa Simba, Mnyarwanda Haruna Niyonzima, amevunja ukimya kuwa mpaka sasa uongozi wa timu hiyo haujazungumza naye ishu yoyote…
KKUNGO HATARI MPYA YANGA AAHIDI KUMALIZA KAZI NA TSHISHIMBI
BAADA ya juzi kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea Yanga, kiungo mshambuliaji mpya Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amemuulizia Ibrahim…
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
ALIKIBA AUNGANA NA CHUMA ‘ MEDDIE KAGERE’ KUMMALIZA SAMATTA LEO, TAZAMA TIZI LAO – VIDEO
Msimu mpya wa ‘Nifuate’ ya msanii, Alikiba na mwanasoka, Mbwana Samatta imekuja kivingine huku wakitambiana kuelekea mchezo wao wa hisani,…
MPOKI ALIVYOMVUNJA MBAVU MO DEWJI – VIDEO
HII SASA NI BALAA, YANGA YASAINI TISA WAPYA, SIMBA MNATOKAJE- VIDEO
Yanga imepania acheni utani jamani, hii ni kutokana na usajili wanaoendelea kuufanya na tayari wamekamilisha saini za wachezaji tisa kati…
KICHUYA, FEI TOTO WATOA TAMKO ZITO JUU YA USIMBA NA UYANGA – VIDEO
Mshambuliaji na Kiungo wa Team Kiba Shiza Kichuya na Feisal Salum wamefunguka kuwa kwa kikosi chao kilivyo lazima wawafunge timu…
UTATU MTAKATIFU SIMBA WAKOMBA MILIONI 300
Utatu hatari Simba, kipa Aishi Manula, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe wametikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mikataba mipya wakitaka wapewe…
Uwanja umeharibu fainali ya shirikisho
BAO la dakika ya 65′ la mchezo lililofungwa na mshambulizi raia wa Zambia, Obrey Chirwa limeipata taji la kwanza la…
VIFAA VIWILI VYASAINI YANGA
YANGA bado wako bize kwelikweli na mambo ya usajili ambapo juzi usiku walikamilisha usajili wa mastaa wawili ambao wanaaminika watabadili…
AZAM YABEBA UBINGWA WA FA, YAICHAPA LIPULI 1-0 KWA MBINDE
Azam FC imeandika rekodi ya kutwaa taji la Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation CUP’ kwa mara ya kwanza kufuatia…