KLABU ya soka ya Azam imempatia programu maalumu ya mazoezi mchezaji wake aliyesajiliwa katika dirisha dogo la mwezi Januari, Khleffin Hamdoun ili kuzoea utamaduni wa Azam FC na kuongeza ujuzi wake baada ya kuonekana kukosa nafasi ndani ya kikosi...
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa anaendelea na programu aliyopewa na Kocha Mkuu Luc Eymael ili kulinda kipaji chake.Ligi Kuu Bara imesimama kwa muda ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimekuwa janga la dunia...
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mabao yake yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na dua maalum ambazo zinafanywa na mke wake pamoja na binti yake.Morrison amesema mkewe anahusika kwenye mabao anayoyafunga kutokana na dua maalum ambazo anazozifanya.Machi 8...
HENRIKH Mkhitaryan nyota wa timu ya Arsenal anayekipiga ndani ya Klabu ya Roma kwa mkopo huenda akabaki jumla kikosini humo iwapo watamhitaji.Nyota huyo mwenye miaka 31 alizaliwa Januari 21,1989 inaonyesha kuwa Kocha Mkuu wa sasa wa Arsenal, Mikel Arteta...
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amehusika kwenye mabao matano kati ya 31 yaliyofungwa na Yanga kwenye Ligi Kuu Bara.Abdul ametoa pasi tano ndani ya Yanga na anaongoza kwa kutoa pasi za mwisho.Beki huyo amesema kuwa sababu kubwa ya...
YUSUPH Mhilu, nyota wa timu ya Kagera Sugar amesema kuwa kwa sasa anaendelea na mazoezi ya kulinda kipaji chake ili kuwa bora endapo Ligi Kuu Bara itarejea.Kwa sasa ligi imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo tamko...
NYOTA Erling Braut Haalad anayekipiga Dortmund kuhusu Virusi vya Corona ni lazima tuungane wote katika mapambano.Virusi vya Corona vimekuwa janga la dunia ambapo kwa sasa shughuli nyingi zimesimama kupisha maambukizi zaidi ya Virusi hivi."Hili janga ni letu sote iwapo...
GADIEL Michael Mbaga alitua Simba kama sahihisho la Mohammed Hussein Zimbwe kwa maana ya kuwa akionekana ni bora kwa mambo kadhaa.Wakati anatua Simba, Zimbwe amekuwa bora zaidi, kwa sasa ni namba tatu kwa kiwango bora na anafanya vizuri.Maana yake,...
AINSLEY Cory Maitland-Niles, raia wa Uingereza hana uhakika wa kubaki ndani ya kikosi cha Arsenal kwa sasa.Mikel Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amekuwa hana mpango wa kumtumia nyota huyo kwenye mechi zake za hivi karibuni kabla Ligi Kuu England...