KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama nchini Rwanda ambako kimeelekea leo kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Azam FC wanakwenda kutetea kombe lao ambalo walitwaa msimu uliopita uwanja wa Taifa kwa kuifunga timu ya Simba mabao 2-1.Mbali na...
ACHANA na mapichapicha ya Nairobi nchini Kenya yaliyosambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, taarifa mpya imevuja kwamba, msanii wa Bongo Fleva, Omar Faraj Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mrembo wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’...
KIKOSI cha Manispaa ya Kinondoni 'KMC' leo kimeripoti salama nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa wachezaji wamefika salama na wana morali nzuri kwa ajili ya kupambana kwenye michuano...
WACHEZAJI watatu raia wa Brazil waliosajiliwa na Simba hivi karibuni, tayari wameanza mazoezi jijini Dar huku kikosi kamili cha Simba kikiwa bado hakijaanza mazoezi.Wachezaji hao ni mshambuliaji Wilker Henrique da Silva, kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira na beki, Tairone...
FRANK Lampard amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea akichukua mikoba ya Maurizio Sarri aliyejiunga na Juventus.Lampard mwenye umri wa miaka 41 amerejea ndani ya uwanja wa Stamford Bridge baada ya kuondoka miaka mitano...
MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame Azam FC leo wameelekea nchini Rwanda na ndege ya Shirika la RwandaAir, ili kutetea taji lao.Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Rwanda kuanzia Julai 6-21 mwaka huu. Azam FC itamenyana na KCCA ya Uganda,...
MSHAHARA wa Ibrahim Ajibu ni balaa, Spoti Xtra waunyaka mwanzo mwisho ni balaa
MWENYEKITI wa Bodi ya Udhamini Simba, Mohammed Dewji 'Mo' leo ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa twitter ambao umekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.Mo ameandika kwamba : "Watu wenye nia mbaya. kazi yao ni kuvunja tu. Kaa nao mbali,...