MAALIM Busungu mshambuliaji wa zamani wa timu ya Lipuli amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurejea kucheza mpira iwapo timu itatokea timu itakayompa dau la maana.Busungu amesema kuwa kwa sasa yupo Dodoma akiendelea na shughuli za kilimo na hajaacha...
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa sasa hauna mpango wa kusajili wachezaji kutoka nje ya nchi kutokana na kuamini uwezo wa wachezaji wa ndani.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa klabu haina...
EVARIGITIUS Mujahukwi aliyekuwa mshambuliaji wa Mbao FC yenye maskani yake Mwanza amejiunga na klabu ya Kagera Sugar.Kagera Sugar imenusurika kushuka Daraja msimu wa mwaka 2018-19 baada ya kuwa na matokeo ya kusuasua hali iliyoifanya ichezemchezo wa PlayOff na Pamba...
KAMA kweli atakamilisha usajili wake wa kujiunga na Yanga SC akitokea Mbao FC, golikipa, Metacha Mnacha atakuwa bora Zaidi ya Aishi Manula na atashikilia namba moja ya timu ya Taifa. Licha ya klabu yake ya Mbao FC...
IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya pasi za mabao 17 na kufunga mabao sita.
Lionel Messi mshambuliaji wa timu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina amesem kuwa timu yao ya Taifa imeponzwa na maamuzi ya waamuzi kwenye mchezo wa nusu fainali ya Copa America.Argentina ilifungwa mabao 2-0 dhidi ya Brazil kwenye...
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije ameahidi kutetea ubingwa wa kombe la Kagame ambalo linatarajiwa kuanza Julai 7-21 nchini Rwanda.Azam FC ni watetezi wa kombe wamepangwa kundi B pamoja na KCCA (Uganda), Mukura (Rwanda) na Bandari (Kenya) wanatarajiwa...
BAADA ya Simba kutangaza nafasi za kazi hivi karibuni kwa vitengo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kitengo cha Media Officer (Ofisa Habari), Chief Executive Officer (Mtendaji Mkuu), Technical Director (Mkurugenzi Ufundi) imeelezwa kuwa ya kitengo cha Habari inagombewa kwa kasi. Mtendaji...
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa nyota wa timu hiyo ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Ally Kiba yupo sana ndani ya kikosi hicho.Kiba msimu uliopita ndani ya Coastal Union alicheza mechi mbili tu kutokana...
BAADA ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoeza mechi zake zote kwenye kundi C michuano ya Afcon zilizotinga hatua ya 18 hizi hapa na ratiba yake ipo namna hii:-Egypt v South AfricaMadagascar v DR CongoNigeria v CameroonSenegal...