Home Blog Page 2772
BEKI mpya wa Yanga ambaye kwa sasa yupo na timu ya Taifa nchini Misri, Ally Mtoni 'Sonso' amesema kuwa ana imani ya kufanya makubwa msimu ujao ndani ya kikosi chake kipya.Sonso amesema kuwa kwa namna anavyomtambua beki mkongwe Kelvin...
MWENYEKITI wa Yanga, Dr. Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji amewateua wajumbe 10 kuunda Kamati mpya ya Fedha na Mipango.Orodha ya walioteuliwa ndani ya Yanga kwenye Kamati hiyo hii hapa:-Arafat Haji nafasi ya Mwenyekiti.Shija Richard nafasi ya...

WAWA APIGWA PINI SIMBA

0
PATRICK Wawa, beki kisiki wa Simba ameongeza kandarasi ya mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu yake.Wawa alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotwaa kombe la Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19 hivyo anarejea kuendelea kuongoza kazi ya ulinzi ili kutetea taji tena...
MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' Simon Msuva amesema kuwa leo watapambana kufanya vema kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Algeria.Stars haijawa na matokeo chanya kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri baada ya kupoteza michezo...
KLABU ya Simba,imeingia mkataba na Kampuni ya A-one kwa ajili ya kutangaza bidhaa yao mpya ya Mo xtra Energy wenye thamani ya Tsh.Milioni 250.Mkataba huo umesainiwa leo na Meneja Masoko wa A-One, Fatma Dewji na Mtendaji Mkuu wa Simba,...
BEKI mpya wa Yanga, Ally Mtoni Sonso amesema kuwa alikuwa na ndoto kubwa sana ya kucheza na Yondani na baada ya kusajiliwa na Yanga amesema wapinzani wakae pembeni.Sonso juzi Ijumaa akiwa nchini Misri na timu ya Taifa ya Tanzania...
WAKATI usajili ukizidi kushika kasi inatajwa nyota wawili wa kikosi hicho wanatarajia kujiunga na Klabu ya Black Leopards ya Afrika Kusini.Nyota hao wawili mmoja wapo ni beki na mwingine ni kiungo na kwa sasa wapo hatua za mwisho kukamilisha...
AMA kweli Yanga sasa wameamua, kuelekea msimu ujao maandalizi yameanza mapema na lengo ni kuhakikisha wanakuwa na kikosi bora katika michuano yote msimu ujao wa 2019/20.Katika kuhakikisha hilo linafanikiwa kwa kikosi chote kuwa fiti uongozi wa klabu hiyo umejipanga...
MTAANI kwa sasa mashabiki wa Yanga ndiyo wanatamba kwa nguvu kutokana na uboreshaji wa kikosi cha msimu ujao uliofanywa na viongozi wa timu hiyo.Yanga kwa msimu uliomalizika hivi karibuni walikuwa na timu ya ungaunga jambo ambalo liliwafanya wapinzani wao...
BADO vuguvugu la kuongeza majembe mapya na kuongeza mkataba wa wachezaji kwenye Ligi Kuu Bara unazidi kushika kasi.Mabingwa watetezi Simba kama ilivyo ada nao hawapo nyuma ambapo mpaka sasa tayari wamemalizana na wachezaji 15.Hawa hapa mambo safi ndani ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS