Home Blog Page 2773

WABRAZIL SIMBA WAFICHWA

0
WAKATI usajili ukizidi kukolea ndani ya klabu ya Simba imebainika kuwa nyota wapya wa klabu hiyo Wabrazili tayari wamepelekwa kwenye hoteli ambayo Simba huweka kambi yao.Wachezaji ni Tairone Santos da Silva, Gerson Fraga Vieira na Henrique Wilker da Silva.Simba...
Uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye hatua ya kuwasainisha mikataba mipya nyota wake watano tayari kwa kuwatumia msimu ujao kwenye michuano mbalimbali. Timu hiyo inaanza kambi rasmi ya mazoezi Jumapili ijayo mjini Morogoro.Yanga imeendelea kufanya usajili huo ikiwa ni siku...
DANNY Lyanga amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kujiunga na kikosi cha JKT Tanzania baada ya kuachwa na Azam FC na kukamilisha jumla ya wachezaji sita waliopigwa pini na JKT Tanzania. Lyanga ameungana na wachezaji wengine watano waliosajiliwa na JKT...
PARIS St. German (PSG) imewaambia Barcelona iwalipe mkwanja wa pauni milioni 197 sawa na sh.bilioni 573 ili wamwachie Neymar Jr.PSG ililipa kiasi hicho cha fedha wakati ilipomyakua akitoka Barcelona mwaka 2017.Imeelezwa kuwa Neymar kwa sasa hana furaha kubaki ndani...
Na Mwandishi Wetu, CairoKocha wa timu ya taifa Taifa Stars  Emmanuel Amuneke, ana matumaini kuwa bado timu yake ina nafasi ya kufanya vizuri katika mchezo wa tatu wa mashindano ya Mataifa Afrika dhidi ya Algeria,utakaofanyika Julai 1,katika Uwanja wa...
Na Saleh Ally, CairoKUNA kikundi cha wataalamu wa kutafuta wachezaji kwa ajili ya timu mbalimbali za ligi za Ulaya hasa kutokea katika nchi za Kaskazini mwa Ulaya, wako hapa nchini Misri kwa kazi maalum.Nchi za Sweden, Denmark, Norway na...
WAKATI mkataba wa nyota wa Simba, Nicholas Gyan raia wa Ghana ukikoma mwezi ujao, imethibitika kuwa beki huyo anasubiri barua tu ili aweke wazi timu anayokwenda.Meneja wa nyota huyo, Juma Ndambi alisema kinachowakwamisha kwa sasa ni barua kutoka Simba...
MAMBO ni moto Yanga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mpya wa Yanga, Abdulaziz Makame kutibua usajili wa klabu hiyo.Makame ambaye amejiunga na Yanga hivi karibuni akitokea Mafunzo ya Zanzibar, anadaiwa kutibua usajili wa aliyekuwa kiungo wa Singida...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS