MASHABIKI wa Simba wanatamba baada ya usajili wa mshambuliaji Mbrazili, Wilker Henrique da Silva ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili ya kukipiga Msimbazi.Usajili huo unaoendelea kufanywa na Simba, huenda ukawa majibu kwa watani wao wa jadi, Yanga ambao hivi...
BAADA ya kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Simba, uongozi wa timu hiyo umepanga kusajili beki mwingine tishio atakayekuwa mbadala wa Mohammed Hussein ‘Tshabalala’.Simba inataka kumsajili beki mwingine wa pembeni namba tatu badala ya Mghana, Asante...
MABOSI wa Yanga wapo kwenye dakika za mwisho za kukamilisha usajili wao wa msimu ujao kwa ajili ya kuwahi dirisha la usajili la Shirikisho la Soka Afrika (Caf) ambalo linafungwa Jumapili, Juni 30.Yanga washamalizana na wachezaji 10 ambao wataanza...
TUMEANZA vibaya michuano ya Afcon mwaka 2019 huku sera yetu ikituambia kwamba ni zamu yetu kufanya makubwa na kufikia malengo kwa mwaka huu.Ikumbukwe kuwa nafasi yetu ya kushiriki Afcon imepatikana baada ya kupita miaka 39 hivyo tunapaswa tuwe na...
GANZI ambayo wanayo watanzania kwa sasa ni kuanza vibaya kwenye michuano ya Afcon hasa ukizingatia kwamba imepita miaka 39 bila timu yetu kushiriki.Hakuna wa kumlaumu kwa sasa kutokana na namna ambavyo tumeanza na aina ya kikosi ambacho tulipambana nacho...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ametamba kwamba Yanga wamelamba dume kwelikweli kwa kumsajili beki Mustapha Suleiman huku akiwaambia washambuliaji wa timu ya Simba, Meddie Kagere na John Bocco kuwa kazi wanayo.Yanga wamemalizana na Mustapha na kumtambulisha kama moja...
MARA baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea TP Mazembe, mshambuliaji Mtanzania, Eliud Ambokile amefunguka kuwa hiyo ni njia kwake ya kwenda kucheza soka la kulipwa Ulaya.Ambokile alijiunga na Mazembe hivi karibuni akisaini dau la Sh mil...
BEKI wa kushoto wa Taifa Stars, Gadiel Michael, amewaondoa shaka Watanzania na kuahidi kupambana kufa na kupona katika mchezo wa leo Alhamisi dhidi ya Kenya.Taifa Stars na Kenya, kesho zitapambana kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon), ukiwa...
ACHANA na Yanga mbovu ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, kwani ya msimu ujao itakuwa tishio kutokana na aina mpya ya usajili aliyokuja nayo Kocha Mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera.Yanga mpya ya msimu ujao inatarajiwa kuwa ya kikosi kipana...
HATIMAYE ahadi ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba imetimia baada ya kuzama mfukoni kwake na kufanikisha usajili wa beki kisiki wa Lipuli na timu ya taifa, Taifa Stars, Ally Mtoni ‘Ally Sonso’.Mwigulu amefanikisha usajili...