ACHANA na Yanga mbovu ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, kwani ya msimu ujao itakuwa tishio kutokana na aina mpya ya usajili aliyokuja nayo Kocha Mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera.Yanga mpya ya msimu ujao inatarajiwa kuwa ya kikosi kipana...
HATIMAYE ahadi ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba imetimia baada ya kuzama mfukoni kwake na kufanikisha usajili wa beki kisiki wa Lipuli na timu ya taifa, Taifa Stars, Ally Mtoni ‘Ally Sonso’.Mwigulu amefanikisha usajili...
YANGA kwa sasa wana jeuri ya kumsajili mchezaji yeyote wamtakaye kutokana na kuwa na kitita cha Sh milioni 930 ambazo wamezipata katika harambee yao ya Kubwa Kuliko.Kwa wiki kadhaa nyuma, Yanga wamekuwa wakichangia fedha kutoka kwa wanachama wa klabu...
KAMPUNI ya Bia Nchini kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager imezindu Kampeni ya Friji ya Ushindi kwa wadau wote wa soka ili kuhamasisha Watanzania kuishangilia Tanzania ishinde iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Bar ya Juliana Mbezi Beach jijini...
BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Gadiel Michael amesema kuwa kwa sasa wana nafasi ya kupata matokeo chanya mbele ya Kenya mchezo wa pili kwenye michuano ya Afcon nchini Misri.Tanzania na Kenya wote wameanza vibaya michuano ya Afcon...
TIMU ya Kaizer Chiefs imemsajili James Agyekum Kotei kwa mkataba wa miaka mitatu.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, amejiunga na Kaizer akitokea Simba SC.Usajili wa Kotei ndani ya kikosi hicho, unamaanisha kwamba Willard Katsande atatakiwa kujipanga kisawasawa kutetea...
KOCHA mpya wa KMC, Jackson Mayanja amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya akubali kusaini klabu ya Halmashauri ya Kinondoni, KMC ni mfumo wa klabu hiyo kumvutia na ubora wa kikosi.Mayanja leo amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kukinoa kikosi hicho ambacho...
YANGA SC bado wanahitaji huduma ya kiungo wa pembeni, Deus Kaseke ambaye mkataba wake unataraji kumalizika rasmi mwishoni mwa mwezi huu. Kaseke alijiunga Yanga kwa mara ya kwanza Juni, 2015 akitokea Mbeya City FC.Alishinda mataji ya ligi...
UONGOZI wa Yanga umesema wiki hii utaweka hadharani majina ya wachezaji watakaoachwa ili kuwapa muda wa kujipanga.Mpaka sasa bado kuna wachezaji ambao hawajua hatma yao ndani ya Yanga huenda wakajua mwisho wao kama watabaki ama kusepa mazima.Wachezaji hao ni...