Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya ushindi wa Taifa Stars amesema kuwa Watanzania tuisapoti Timu yetu ya Taifa stars huku akisema kuwa hana Imani kama timu ya Taifa itafika hatua ya...
Mwanachama na shabiki maarufu wa klabu ya Yanga, Rostam Aziz leo ametokea hadharani na kusema kswamba haungi mkono klabu yake kumilikiwa na mtu mmoja.Rostam ameyasema hayo leo mchana wakati akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar...
KOCHA wa timu ya Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kinahitaji kusajili wachezaji sita ambao wataongeza nguvu ndani ya kikosi hicho.Mgunda amesema kuwa ushindani msimu ujao utakuwa mkubwa tofauti na mwanzo hivyo ni lazima awe...
MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, leo Juni 20, 2019, akiongea na wanahabari makao makuu ya klabu hiyo, ametoa kauli kuhusu mchezaji Ibrahimu Ajibu, kwamba klabu hiyo inamtakia kila la heri popote anapotaka kwenda.“Mkataba wake unamalizika mwisho wa mwezi...
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu leo Juni ameendesha harambee maalum ya kuichangia timu ya taifa (Taifa Stars) katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.Timu hiyo inashiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON)...
UONGOZI wa Alliance FC umesema kuwa kwa sasa wanamsubiri kocha wao Malale Hamsini asaini kandarasi mpya ili aendelee na kazi kwani msimu uliopita alifanya mambo makubwa.Kwa sasa Hamsini amemaliza mkataba wake na bado hajasaini mkataba mpya kwa kile alichodai...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kukiandaa kikosi cha ushindani kitakachofanya vema kwenye michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza mwezi Julai nchini Rwanda.Azam FC ni mabingwa watetezi walitwaa ubingwa kwa kuifunga Simba mabao 2-1 uwanja wa...
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye leo uongozi wa klabu ya Yanga umetoa msimamo wake kuhusiana na kiungo Ibrahim Ajibu Migomba.Yanga imesema mkataba wake na Ajibu unaisha mwishoni mwa mwezi huu. Tayari wamemka Ajibu nafasi ya kuamua kama...
Simba imeamua kujiimarisha zaidi katika sehemu ya kiungo cha ukabaji kwa kuvuka mipaka hadi nchini Sudan ambako imemsajili kiungo Bora mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan.Huyo ni mchezaji wa timu ya taifa ya Sudan tangu akiwa na...
KAZI bado inaendelea kwa sasa ndani ya kikosi cha Azam FC ambapo kwa sasa Azam FC nao wanaendelea na kazi ya kuongeza nguvu ya kikosi cha Azam FC.Mpaka sasa tayari Azam FC wana jumla ya wachezaji 10 ambao wameongeza...