Home Blog Page 2799
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna hesabu za kusajili wachezaji wengine wa kigeni baada ya kukamilisha asilimia 90 za wachezaji waliokuwa wanahitajika na Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.Mwenyekiti wa Yanga, Dk.Msindo Msolla amesema kuwa kwa sasa hawana mpango...
Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga Mwinyi Hajji yupo katika rada za wana “Kino Boys” KMC ili kukiimarisha kikosi chao.Mwinyi Haji tayari amemaliza mkataba wake na Yanga na mpaka sasa uongozi wa Yanga upo kimya huku...
Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.#MchezajiTimuNafasi1Aishi ManulaSimba SCKipa2Beno KakolanyaSimba SCKipa3Bigirimana BlaiseNamungo FCKiungo4Charles Martin IlanfiaKMC FCKiungo5Daniel JoramNamungo FCKiungo6Erasto...
MCHEZAJI wa Singida United, Keneddy Juma ''mwili jumba' leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka...
KOCHA wa Alliance FC, Malale Hamsini amesema kuwa tayari amemaliza mkataba wake ndani ya kikosi hicho hivyo kwa sasa yupo huru kujiunga na kikosi kingine kwa kuwa bado hajaitwa mezani.Akizungumza na Salehe Jembe, Hamsini amesema kuwa kwa sasa hayupo...
UONGOZI wa Singida United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Fred Minziro umesema kuwa makosa yaliyojitokeza msimu uliopita hayatatokea tena msimu mpya wa 2019/20.Akizungumza na Salehe Jembe, Ofisa Habari wa Singida United, Cales Katemana amesema kuwa wametambua namna walivyokwama kuleta...
NYOTA mpya wa Azam FC, Idd Suleiman 'Nado' amesema kuwa ana kazi kubwa ya kufanya kwa sasa kutokana na kujiunga na moja ya timu kubwa kwa bongo.Nado jana ametangwaza rasmi kuitumikia Azam FC baada ya kupewa kandarasi ya miaka...
DAR ES SALAAM: Watoto wawili ambao ni uzao wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mwenye pesa zake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ na Nillan Nasibu ‘Prince Nillan’, wamemrusha roho...
UNAAMBIWA Yanga si ya mchezomchezo kwani hawataki kabisa utani, mpaka sasa tayari wamemalizana na majembe makali tisa ambayo ni chaguo la Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera. Majembe mapya 8 ambayo  tayari yana uhakika wa kuvaa jezi za njano msimu ujao yataungana...
HOMA ya Usajili ndani ya Ligi Kigi Kuu Bara inazidi kupanda huku vikumbo vikiongezeka kwa kila timu kuhitaji kufikia malengo yake.Tayari Simba imewatangaza wachezaji wake sita ambao msimu ujao ni uhakika kuwa ndani ya kikosi hicho cha mabingwa wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS